Habari za Jumapili waungwana...
Naomba mwenye key activator za windows 10 enterprise..wanitumie (wanisaidie ) kama kuna mtu anazo..
naamini wale wenueuelèa wa haya mambo wamenielewa vizur.
shukran.
Assalama aleikum,
Waungwana sina mengi ila naomba sana mwenye kujua alipo fundi wa kutengeneza ( replace) screen za smart TV za samsung anisaidie ... maana yangu ilipasuka na kwa kweli nahitaji...
The best online pool game in the entire world yet,
Nimekua nikicheza hili game kwa muda mref sana sababu n zur sana na ni real,
lengo la kuweka uzi huu ni kwa wale ambao ni ma fans wa hili game...
Habari za majukumu wanajukwaa!! Kwa mara nyingine nakuja kweny jukwaa hili endelevu nikiomba msaada.
Ni hivi baada ya kujipinda na mie nikaweka chini chogo na kuvuta Samsung Smart TV model 4303...
I have washing mashine INDESIT WIXL 143s. I have been using it for the past three years;unfortunately recently, some parts including the bearings and pcb (printed circuit board) went wrong! Now...
wakuu msaada wenu tafadhal coz mashine iligoma kufanya kazi ghafla yaani huwa inawaka tuu kwenye keyboard but display haioneshi chochote_ntafurah sana endapo nikipata motherboard ya hii mashine...
Wakuu nauza c9 imetumika miez 6 nataka nibadl upepo wa cm.. Price 300000 but it can be negotiated kiduchu!
One thing haina tatizo hata moja kioo kiko bomba kabisa!
Habari za Jumamosi wana JF karibuni tena kwenye makala nyingine fupi, leo tutaenda kuangalia jinsi ya kuongeza ulinzi wa simu yako ya android kwa aina mpya ya lockscreen.
Najua wengi wetu tumesha...
Simu yangu ni Tecno Phantom6 Niliinunua October mwaka, ila kwa bahati mbaya leo nimeigonga kioo kwa funguo iliyokuwepo kwenye mfuko wa suruali na imefanya crack kwenye kioo.
Naombeni ushauri...
Habari wana jamvi?
Kama ilivyo ada, leo tumewaandalia video itayo kupa mwanga wewe unayehitajikuanza kujifunza computer programming lakini hujui uanzie wapi!!
Katika video hii, tumeweka lugha...
nimefungiwa fb jana baada ya kuposti picha ya uchi kila nikiingia inagoma pia hyo akaunti ya fb ndio niliyokuwa natumia kuingilia instagram, nilichokuwa naomba nisaidieni hii akaunti ya insta ili...
Habari wakuu,
nilikuwa naomba kujua software ware ipi ambayo ni FREE kupakua katika mtandao ambayo itanisaidia kuchora graphs,hasa za takwimu ambazo sio ngumu ( not complicated mathematics)
Naimani mu wazima wana JF.
Natumia Huawei Y336, nashindwa ku upload picha na video zilizopo kwenye memory card JamiiForums. Lakini social network zingine kama fb, whatssup, n.k inakubali...
Hello wa ndg natuamai nyote wazima. Naomba msaada kwa yeyote aliyewahi kukutana na tatizo hili kwanye cisco router 2911 anipe msaada. An uncorrectable parity error has occured in the tdm switch...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.