Wadau katika kupita pita kwenye website za muziki nimekutana na nyimbo ambazo nazihitaji, ila zina option ya kuplay online tu!
Hapa nimehangaika kutafuta app nimeshindwa, natumia simu! Nadhani...
It's no secret Mark Zuckerberg is pinning Facebook's prospects on augmented reality — technology that overlays digital imagery onto the real world, like Snapchat's signature camera filters.
At...
Kufanya Livestreaming kutoka kwenye kompyuta yako kwenda kompyuta nyingine au simu(smartphone)
Kama unatazama video au unasikiliza audio kupitia vlc basi unaweza fanya vifaa vya watu wengine kama...
Nina laptop aina ya dell inspiron, shida ni kuwa nikiiwasha, pale mwanzon huwa kuna kialama flan ka dell, alaf kwa chini kuna kimstari kinakuwa kinasogea, kikifika mwisho ndo windows inaanza, lkn...
HUENDA HII IKAKUSAIDIA SIKU MOJA!
Endapo utavamiwa na majambazi na wakakulazimisha kuwatolea pesa kwenye ATM, ili kuokoa maisha yako, wala usitaharuki.
Unachopaswa kufanya ni kuingiza namba ya...
TAFADHALI WATAALAMU MLIOMO HUMU, NAOMBA MUONGOZO JINSI YA KUTUMIA ROUTER KWA SMART TV,.. JE, NIKIWA NA ROUTER PEKEE INATOSHA? AMA HADI NIUNGE NA MODEM? NA KAMA NDIVYO, KWAMBA NI LAZIMA NIWE NA...
Jamani Samsung S8 ishafika kweli bongo maana nmehangaika sana kuitafuta madukani nimeenda nakuta zimejaa s7 na s7 edge Tu!!" Anaejua wapi niende duka ambalo nikienda ntapata kwa Dar es Salaam.
Habari zenu wana tech wenzangu me naitwa hancy designer na Nina channel yangu inayouitwa HANCY TV nilikua nahitaji kupata views kwenye video zangu kwaiyo naombe msahada wenu nimejalibu Google...
Habari zenu wakuu
Nataka kununua smart phone yenye uwezo wa kudumu na charge kwa muda mrefu ukiachilia mbali maTECNO na maItel naomba ushauri ninunue simu ipi?
Nilinunua Lumia 635...
Nika update to windows 10, mimi ni mpenzi wa twitter sana
Windows phone nyingi hazina twitter nzuri in terms of GUI
huwez kuona retweets za watu vizur
Windows phone...
Shtorm carrier, known as Project 23E000E, is Russia's next military upgrade
Vessels will be the size of three football fields and cost up to $17.5billion each
Will carry 90 aircraft and be...
Wakubwa naomba kwa yule mwenye kuwahi kuicheza hii game anifahamishe "SURVIVAL ISLAND: Hero escape". Yaani kila nikijaribu kujikoki wapi naambulia patupu, ndo kwanza nipo awamu ya kwanza kwenda...
Color: Grey (unlocked),
location: Arusha City,
Storage Capacity: 128 GB,
Condition: Used, No scratches, Just as new.
Comes with Charger and Earphones.
Price: 1,400,000
inbox me
wadau naomba kujulishwa kuhusu ubora na mapungufu ya simu ya Samsung Galaxy S7 edge kwa waliobahatika kuzitumia maana ninaipenda sana na nina mpango wa kuinunua katikati ya mwezi May 2017 Mungu...
Habari, i hope mko good.
Kuna kitu kinanisumbua sana, yan kila nkiapload picha Facebook inakuwa kam inapungua ubora na muonekano wake,..
kwa yoyot anaejua mambo hizi namn ya kutatua hii...
Kama kichwa cha habari hiyo ni app store ambayo unaweza pata app zote zinazouzwa play store buuuure kabisa...!!
Amna haja ya kuroot simu yako inafanya kazi Hata usiporoot.
Mfano cheki hapa Game...
Wakuu salama? Desktop yangu imekufa na haina namna ya kurekebisha isipokuwa kutafuta nyingine au kupata motherboard. Ni workstation dell precision T 5500. Msaada wenu tafadhali. Na kama ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.