Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Deleted
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Wakuu naomba maproducer wa audio studio ambao ni Wazoefu wa kutumia cubase programu katika kuedit nyimbo baada ya kurekodia. Please ni procedures /hatua gani unatumia ili wimbo utoke vizuri baada...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kuna simu ya android Kitkat android version 4.4.2 Nahitaji ku upgrade kwenda kwenye better version. Nahitaji kuwa na nin? Madhara au faida nitayo ipata baada ya ku upgrade, MSAADA TAFADHARI...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
eti wakuu,inawezekana nikasikiliza mziki Wa kwenye simu yangu through U.S.B charger kwenye subwoofer? kama inawezekana nifanyeje?yaani kivip
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Za saa hizi wadau, natumia Tecno phantom 6 plus, tokea jana simu inagoma kabisa kuconnect na net ila kwenye watsap tu... ila.nikifanya tethering watsap inafanya kazi poa tuu ... Ila nikiwasha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hebu tujjaribu kushare hili jambo. Nimeshawahi kuona picha na maneno mengi mtandaoni yakisema simu inaweza kukulipukia ukiwa unaongea huku ikiwa kwenye chaji. Mimi kwa uelewa wangu naona vitu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Essuyé mimi nina px Sina ta HP élitebook 6930p...nikiiwasha inaandika hapo nilichokiandika halo juu, na nikijaribu kuiwasha les power button haiwaki had Normie info button ndo inawaka Lakini...
0 Reactions
1 Replies
533 Views
Jamani shida ni hii, nahitaji kutumia WhatsApp ile ya zamani maana hii mpya naiona ipo kinyume. Kwa anayeweza naomba anipe maelekezo wapendwa ili niirudishe ile ya zamani. Nawasilisha ombi langu...
4 Reactions
78 Replies
27K Views
In 1sec the sun generates more energy than has been used in all of mankind's history. That's alot of energy. This fact demonstrate the incredible amount of power our sun generates. But just how...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, nahitaji sana smartphone yenye camera ambayo uwezo wake upo juu hata kutumia katika masuala ya kibiashara kama vile graphic yake na uwezo wa kuhold apps za 3d. Ila kidogo bei...
2 Reactions
22 Replies
8K Views
Jinsi ya kutumia WIFI kwa kutumia Moderm ya Airtel... Huawei Wingle
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Wandugu wana JF naomba msaada wenu kama naweza kubadilisha kioo cha TV yangu singsung inch 25.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
HABARI! Nauliza kwamba je kuna uwezekano wa kupata namba ya mtu aliye fb ambaye hakuiweka hadharani?
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu nina huawei G610-U20 inajizima na kujiwasha hovyo nimejaribu kuirestore kawaida imegoma,,nikiwasha kwa kuhold volume down na bottun ya kuwashia ina vibrate tu laikin yale maandishi ya...
0 Reactions
1 Replies
731 Views
Habari, Wadau leo wapo wafanyakazi ambao kesi/migogoro kati yao na serikali imeshasikilizwa lakini ni zaidi ya miezi mitatu sasa wengi hawapati maamuzi kwa kuzungushwa na hao waamuzi wa tume ya...
0 Reactions
1 Replies
632 Views
Kiukweli hapa nina mzigo wa G'FiVe G10 fashion natafuta firmware yake lakin kulingana na kuwa hautaki kuwa installed ktk pc nikaona sio vyema ngoja niufungue nicheck chip gan unatumia?????
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kila kukisha nasikia hawa wamefanya majaribio ya siraha za Nyulkia na kufanikiwa, sasa hayo majaribio yanafanywaje yaan? au kuna sehemu wanalipua huo kusikokuwa na watu na kuona wamefanikiwa au...
0 Reactions
3 Replies
984 Views
polen na kaz wakuu kuna tecno l8 hapa inazingua... yan niliirestore sasa inapoanza upya,kwenye primary settings pale mwanzo yan kuselect language unachagua vizuri,ikitoka hapo ileta page...
0 Reactions
2 Replies
598 Views
Msaada pc ukiangalia video inaganda baada ya mda ka ina stream shida ni nn eti wakubwa
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Back
Top Bottom