Niliahidi kutoa mifano ya fursa ambazo Rafiki zangu Developers wanaweza tumia nakuleta impact kwa jamii nahata duniani kiujumla. Fuatilia my previous thread
Nilieleza hits muhimu zakujua...
Naomba msaada ndugu zangu ninahitaji kudowload season mpya ya prison break season 5 iliyotoka mwezi huu wa nne, lakini sifahamu naipata vipi naomba mwenye ujuzi wa hili jambo anifahamishe kupitia...
Tunapomsikia mtu akisema Usalama wa mitandao/Matumizi mzuri ya mitandao...tumeshawahi kujiuliza huyu mtu ana lengo na nia gani kwa jamii??....Kwanza kabla mtu yeyote hajaanza kutuhubiria kuhusu...
Jamani msaada nna simu yangu imetoka ulaya sema haiingii sim card za tanzania na inataka unlock codes ambayo nimejaribu kugoogle wanaziuza usd 30 msaada jamani kama kuna njia nyingine mnisaidie...
Hii silaha kwakweli ni hatari sana, A Taser is an electroshock weapon sold by Taser International. It uses electrical current to disrupt voluntary control of muscles causing "neuromuscular...
Wale ambao mlikuwa na shaka juu ya ujio wa nokia na kusema kuwa simu za Nokia chini ya HMD na FOXCON hazitakuwa na roho ya paka kama Nokia za enzi zile nadhani mnapaswa mfute mawazo hayo akilini...
Nina laptop aina ya HP sasa Jana nilipokuwa nataka kuizima bahati mbaya nikabofya button ya restart, Naona baada kumaliza Ku restart button za chini zote hazifanyi kazi.....
Katika pitapita zangu sijaona, App ya kitanzania angalau yenye 1m downloads. Watu hawana new idea au tatizo ni nini?
Dev wengi wanafanya basic websites na kufungua development agency.
Kama kuna...
Kuna project nafanya, ningependa kujua makadirio ya idadi ya magari Tanzania
1. Binafsi %?
2. Serikali %?
Nimejaribu kufanya hesabu za jumla kwa kutumia number plate za sasa kwa ku-assume kwamba...
Wakuu;
Ningependa kuelekezwa namna ya kuzigeuza videos kutoka MP4 kwenda AVI. Napenda kuplay video kwny DVD player bt kuna baadhi huwa zinagoma, so help me pliz.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Nataka kujua ni sifa gani nitazingatia,ninapotaka kununua LAPTOP kwa ajili ya GAMES
Nataka nijue sifa (Specification) ya laptop kwa ajili ya games...
Wadau habari zenu!
Naomba mnisaidie hapa, nikihifadhi (save) video za YouTube offline huwa zinachukua nafasi ya kwenye memory card au internal storage? Au zinakaa hewani kama ilivyo kwenye...
habari wadau.....
kuna uzi uliletwa humu JF unaelezea namna ya kusoma sms za simu 5o kwa kutumia
gmial... mwenye link ile anisaidie ili niweze kusoma sms za mpenzi wangu coz I think smtn iz...
Kwanza niwashukuru sana wadau wa JF naweza sema sehemu kubwa ya taaluma yangu nimegain kutoka JF,naweka mezani tena hili nawezaje pata decoder za canal sports na nawezaje kuwa nazilipia?
Wakuu na wataalamu wa Teknohama msaada tafadhari.
Laptop {Lenovo} lenovo Ilizima ghafla. Chaji inaingia lakini ukiwasha hakuna chochote kinachoendelea. Cha ajabu kuna wakati mara mojamoja sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.