Habari za leo wanajamvi? Bila shaka mko njema kabisa baada ya kumaliza shughuli za hapa na pale, hasa ukizingatia asubuhi ndo inatoa picha kamili ya siku.
Turudi kwenye mada, simu tecno y6...
infinix s2 pro is one of the latest and best available phones in the country
phone specification
5.2 inches Display Size
Android OS, v6.0 (Marshmallow)
Octa-core 1.3 GHz
Memory: 32 GB / 3 GB RAM...
Accoint wanakataa kuipitisha sababu iko related na another recently approved account.wameniwekea na email address kabisa ya hiyo account.Nafanyaje wakuu?
nimechukua Visa TravelMoney card pale BancABC ya dollars na kuweka vijisenti. nilikamilisha kila kitu na nilipoenda nyumbani nikaunganisha card na PayPal. tatizo linatokea kwamba haikubali...
Nimeamua kuleta Trackers Tanzania nitaziuza kwa yoyote anayetaka.
Nichombo kidogo tu uanaweza kukishona kata kwenye belt ya Surrualia. Kinatumia GPS, kwa hio kwa kutumia Smartphone Mtu yoyote...
Today, the job opportunities for Linux experts are more than ever. The Linux SysAdmin interview questions range from basic Linux questions to networking, DevOps, and MySQL questions. So, one needs...
Baada ya muda mrefu kidogo nimeamua kurudi kwenye C++ ambayo niliisomaga Uni. lakini niliichukia sana kwa sababu mbalimbali:mad:.
Nimeanza na kitabu kinaitwa C++ Primer Plus (5th Edition).
Au...
Wakuu nimefika bukoba nina kama wiki hivi ila network ni poor yaan sehem nyingi iko poor sana kuna sehem haishiki kabisa yaan inaenda hadi 0.0k/s hata whatsap haziingii text. Skype ndo ukiotea...
Mtandao wa kompyuta ni kikundi cha kompyuta ambazo zimeunganishwa kwa madhumuni ya mawasiliano. Mitandao yaweza kupangwa kulingana na sifa mbalimbali Makala haya yanatoa maelezo ya ujumla ya...
Habari zenu wadau, husika na kichwa cha habari hapo juu. Machine iwe katika hali nzuri.
Kwa mawasiliano 0712687590. Unaweza tuma picha na details ya machine kwa namba hii.
Habari zenu wakuu....kwa anaeweza kunisaidia ili kujua ni wapi naweza kupata waya wa material ya "zinc". Nimejaribu kuulizia kwenye maduka ya vifaa vya umeme lakini sijafanikiwa na wauzaji wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.