Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hi wadau wa haya mambo ya Webhosting na Domain registration Nimekua very anxious siku nyingi kujua walau "abc" za web hosting and domain registration sana sana ku host multiple websites mfano 20...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wana JF, Siku ya tatu leo naangaika jinsi ya kuweza ku point domain yangu iweze kuendana na server yangu ila nimeshindwa nahitaji msaada kwa hilo please domain nimenunua godady na server...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nokia Lumia 520 software windows 8.1 Kuna application nimei download kutoka play store inaitwa windows 10 upgrade advisor sasa nikitaka Ku upgrade to windows 10 inakataa inasema not supported Na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina laptop yangu ilikuja na window 7 starter kila mara ninapokuwa nafanya shughuli zangu in a display massage hiyo hapo chini Niki cancell inarudi tena na tena nikibonyeza continue bado inarudi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nokia Lumia 520 software windows 8.1 Kuna application nimei download kutoka play store inaitwa windows 10 upgrade advisor sasa nikitaka Ku upgrade to windows 10 inakataa inasema not supported Na...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Habari zenu wakuu!! Kama kichwa cha habari kinavyosema naombeni msaada wa kuonganisha tecno c9 na smart tv kwa kutumia MHL cable, me nimejaribu kila lakini inagoma kwa anayejua nifanye nini...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Ninatafuta non hosted adsense account.Tuwasiliane PM
0 Reactions
2 Replies
801 Views
Habari zenu wanajamvi, naomba kuelimishwa mimi nina credit card ya Visa ya NBC nataka kuiunganisha na e-wallets mfano skrill na paypal,sasa swali langu ni je inawezekana maana akaunti ni ya Tshs...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Natumia simu aina ya Samsung s3 Neo nimepatwa na shida ya upande wa charging/battery. Nilikuwa kwenye matumizi ya simu ya kawaida baada ya charge kuisha ilizima nikaweka simu ipate charge lakin ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Msaada wakuu. Natumia Itel lakini nashindwa kabisa kupata gps kwenyr apps ambazo zinataka locations kama vile whatsapp na research apps. Natanguliza shukrani zenu
1 Reactions
4 Replies
791 Views
Mwezi wa 9 mwaka jana mimi na jamaa yangu tulikwenda kununua TV Kariakoo na tulifanikiwa kununua tv za hii brand ya Ouling.Lkn kwa kipindi kifupi tu yaani sep 2016-jan2017 tv zote yaani ya kwangu...
0 Reactions
19 Replies
10K Views
Wakuu, heshima mbele. Baada ya kumuazimisha jamaa yangu Computer yangu (laptop) niliamua kubadili Password lakini inaniletea ujumbe unaosomeka.. "windows cannot change the password" nifanyeje...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
wanasayansi wa UCLA wamarekani pamoja na waswiden wametengeneza compact yenye kutumia nokia 1020 kwa ajili ya kupima DNA,hii imekuja baada ya wanasayansi hao kugundua kuwa sensor ya nokia hio ndio...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
How to Reset Forgotten Password In Windows. Often People Tend To Forget Thier Windows Password. Forgetting any passoword is not fun, but luckily Here is the simple trick which i will show you to...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau jinsi ya Ku root Vodafone 300
0 Reactions
1 Replies
512 Views
Laptop yangu ya dell imekufa sauti. Ila tatizo inaonyesha ni hardware. Inaweza kurekebishika au had ninunue kifaa kipya
0 Reactions
0 Replies
568 Views
Niaje wana JF...msaada jamani ni program gani nzur ambayo inaweza ikakusaidia kuitafuta adroid iliyopotea. .. Kama maelezo hayajajitosheleza ni ruksa kusema.
1 Reactions
1 Replies
704 Views
Msaada Wanajamvi naombeni msaada, nimesahau password ya laptop yangu ya dell ina windows 8.0. naombeni kupata msaada wa kuifungua, sina account ya microsoft. Thank you in advance!!
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Nimedownload nyimbo ninazozipenda kutoka youtube zingine zikiwa kwenye format ya MP4 na nyingine zikiwa kwenye format ya MKV.Nimeziweka kwenye flash na zinaplay vizuri kwenye laptop yangu.Tatizo...
0 Reactions
4 Replies
628 Views
Nimejaribu njia zote ninazozifahamu imeshindikana. Naomba mwenye utaalam wa Ku'root Huawei mate 8 anisaidie. Natanguliza shukrani!!
0 Reactions
2 Replies
626 Views
Back
Top Bottom