Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu jamani.....natumia tecno 3+ laini mbili hivyo naombeni msaada wenu wa kutoa unlock code kwa upande wa laini ya pili iweze kusoma 3G...kwa upande wa intaneti.
0 Reactions
1 Replies
937 Views
Nataka kutengeneza interface au form ambayo user akiingiza jina mfano jina la mtu basi apate taarifa au data zinazo husiana na uyo mtu yani iwe ya ku search items sasa nimekwama sitaki kutumia php...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bila shaka wanajamii ni wazima mkiendelea kuimalizia weekend pamoja na changamoto mbalimbali tunazopitia. Ni muda sasa simu yangu haiwezi ku-download au ku-update application yoyote lakini naweza...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Pc yangu aina ya acer aspire E 13 inatumia window 1pnikiiwasha inawaka ikishamaliza kuload then ikimaliza kuwa ikuletee sehem ya kuweka pass word inatulia ile box ya kuweka password lakini ile...
0 Reactions
7 Replies
838 Views
Wakuu naombeni msaada tecno l6 inakataa kupokea cm pale ninapobonyeza kitufe cha kupokea simu na kitufe cha kukata pia hivohivo nikipokea inaniambia; unfortunately phone has stopped.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Msaada jamani nashindwa kudowload chochote kwa laptop yangu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nikiweka code za kuweka picha labda background lakini aifunction sijui ni kwann naomba mnisaidie
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wadau wa jukwaa hili. Napenda teknolojia. Lakin kwa leo nimekwama mnisaidie watalaamu najua mpo humu. Nataka ku download activation code ya program moja hivi, lakini naambiwa hadi ni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ivi ni Mimi tu au. Maana Leo nafungua TV nakuta Chanel mpya tu ndo zipo. Ukijumlisha na chalel ya taifa. TBC. hizi zingine Zote, itv, startv,chanel 5,clous,chalel 10.zooote hazionyeshi. Sijui...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu, Nahitaji msaada kuondoa hiyo .Ninapofungua browser Google chrome,hiyo site ya ngono inatokea.Mwenye ufahamu tafadhali atoe msaada.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
nina simu yangu huawei530 ina tatzo la kuzima data na kujiwasha mda mwngne hadi niirestart ndo data inawaka... sijaelewa sababu ni nin!
0 Reactions
0 Replies
362 Views
karibuni ktk channel yangu ya YouTube ambayo ni Kipingu TV naombeni wadau msiache ku subscribe. Hapo utapata video mbalimbali za kisiasa,michezo nk napokea ushauri maana mi bado mwanafunzi ktk...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar za muda huu wakuu... Leo naombeni munisaidie hili kabla ya kufungua blog nina facebook page ambayoo baada ya kufungua blog nataka kubadili jina la facebook page ili liendane na jina la blog...
1 Reactions
8 Replies
958 Views
Nawezaje kufanya update ya simu huawei y530 ?
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Wasaalam JF Kama nilivyo ongea hapo juu, mm kwenye Data base creation ni begginer but naijua kidogo sasa basi nahitaji kujua jinsi ya kutrasilate E/R relation model to Relation model nawasilisha
0 Reactions
7 Replies
710 Views
Nina VISA ambayo iko connected na online transactions (Activated) nitumie website ipi ambayo ni salama na yenye bei ya chini hata kama nikisubiri kwa mda mrefu ili simu iwe na uwezo wa kutumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I haven't posted anything for sometime here, so i decided i could post something educative and to memorize my self a bit... I'll assumes a working knowledge of basic shellcoding techniques, and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji msaada wa namna ya ku futa account ya facebook au ku disable nimejaribuwenyewe nimeshindwa hivo kwa wenye maujuzi ya hayo mambo naomba anipe mwongozo?
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Kuna jamaa nlimwachia simu na hivi ndivyo nilivyoikuta naombeni msaada wenu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom