Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mtaani ni shinda uamuzi ni wako kuja kupata mafunzo ya kujifunza kufanya installation za camera au kusubiri ajira GS POWER INSTALLATION PAMOJA NA CHUO KIKUU CHA KENVISION NAIROBI PAMOJA NA WADAU...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu natumaini mu wazima wa afya. Lengo la kuja hapa ni msaada wa namna ya kupata chanel za Azam TV maana wananiambia "NO PROGRAMME" hata nikiserch hakuna channel wala radio nayopata...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari za leo wanajamvi, Naomba msaada wenu katika hili. nahitaji kusoma IT katika ngazi ya advance diploma, nimekuwa nikijiuliza ni chuo gani kitanifaa kwa kozi hiyo ambapo kama nitahitimu...
1 Reactions
43 Replies
13K Views
Guys Nina pc niliweka flash ya mtu yenye wale virus wanaohide files na kuziweka shortcut ... sasa kila nikiweka any external drive inapigwa shortcut nauliza jinsi ya kuwatoa completely kweny PC.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Natumia Nokia Lumia 520 windows 8.1, nataka Ku upgrade ili niweze kutumia windows 10. Kuna application inaitwa windows 10 upgrade advisor sasa nikitaka Ku upgrade to windows 10 inasema not...
0 Reactions
2 Replies
939 Views
Nimefikiria kuandika makala hii kuwasaidia hasa wale wanaojikuta wamekuwa na anwani za barua pepe kwa kulazimika (kama vile kupata huduma za Playstore kwa watumiaji wa Android) na pia kwa huduma...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari. Wakuu kutokana na hali ya maisha kuzidi kuwa tight na mitandao ya simu kuzidi kupunguza MB naomba mnielekeze namna ya kupata line ya Halotel ya chuo ili niweze kupata university offer.
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari wanabodi Katika simu yangu kuna tatizo la "storage space run out ". Naweza kuweka memory card ya Gb 16 ambayo ni empty kabisa lakini nashindwa ku download hata picha ya kb chache...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
habari wandugu, leo nimekuja na viswali vyangu baada ya kupita website ya tcra na kukosa majibu yakinifu kuhusu huku kuhamia kwa digitali kutoka analojia(digital migration),na maswali yangu ni...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za asubui wadau. Hivi window10 inaitaji kua na antivirus?
0 Reactions
5 Replies
635 Views
Habarini members! Nikichukua Cardreader nikiweka memery card kwenye screen inaniambia USB 2.0 nini tatizo?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu wa ukumbi huu leo niko na shida kuhusu PDF kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji kutuma PDF kwenye website flani ya nje bt inahitajika folder langu liwe na MB moja kamili sasa...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Tafadhari Shufu Kichwa cha Habari Hapo Juu,, Naomba Kusaidiwa, Applications zote za Simu yangu ya Android TECNO Boom J8 Zinafanya Kazi Upande wa Internet Kasoro Whatsapp na Instagram ambazo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jaman mi ni Wa long time hapa jf ila cjui jinsi ya kuipost pic humu jf o kuiweka habar nzima kutoka blog nyngine kuiweka hapa ,ivo naomben mnsaidie ili nishiriki nanyi kikamilifu
0 Reactions
3 Replies
763 Views
Ndugu zangu wataalam wa computer laptop yangu haitaki ku log on nikiweka password zangu inanionyesha hivi.... Naomba msaada
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wakuu naombeni msaada duka ninaloweza kupata movies za crusade stories na nyinginezo ambazo in original hapa jijin dar
0 Reactions
0 Replies
530 Views
Nilikuwa naomba msaada kwa anefahamu njinsi ya kufunga cd aw dvd kwani same time unaweza ukawa umepewa cd aw dvd ukiitia kwenye computer huwa ina display moja kwa moja ila kile kilichokuwepo...
0 Reactions
2 Replies
715 Views
Natumia Nokia Lumia 520 windows 8.1, nataka Ku upgrade ili niweze kutumia windows 10. Kuna application inaitwa windows 10 upgrade advisor sasa nikitaka Ku upgrade to windows 10 inasema not...
0 Reactions
0 Replies
504 Views
Wakuu naombeni msaada simu yangu inaleta hii Notification kila muda na mpaka imekuwa kero, however natumia Lenovo Xvibe 960 ~Cmb
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Aseee naomba msaada jinsi ya kusave documents kwenye email such photos and others
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom