Hapo kuna info kazaa nimefuta lakini kuna mtu amekuwa akinifuatilia kwa miaka saba mpaka amefikia hatua za kujipa full control ya computer yangu katika kipindi cha miaka nane ameshaharibu computer...
Habari zenu wakuu , leo ningependa kuelezea jinsi ya kudownload video kutoka
facebook/ Jinsi ya kudownload video za Facebook ( Najua baadhi yetu tunajua na baadhi ya watu wengine hawajui )...
habari wanajf,nina simu(tecno430) kila nikidownload video yenye size kubwa kwa kutumia operamin browser inakataa,yaan haiwezi kabisa,kama kuna wataalamu humu naombeni mnisaidie maana huwa natamani...
Betri ya simu yangu imevimba mpaga mfuniko haufungi.
Sasa hadi naogopa isije ikanilipukia. Embu wataalam wa simu kujeni hapa muone namna ya kunisaidia maana hiki kimeo ndio kinachoniweka mjini!
Smart Elite ni wamekuwa wakiwasaidia watu wengi namna ya kutengeneza simu au computer yako mwenyewe bila kwenda kwa fundi. Ni kampuni ambayo itazindua App yake karibun. Nimezipenda huduma zao...
Me nimemaliza bachelor degree ya computer science in software engineering na sasahivi namalizia ccna baada ya kumaliza oracle database 11g ila lengolangu kubwa nahitaji kuwa network engineer...
Wakuu ninawezaje kupata sms au call confrimation code ya whatsapp line yangu imefungiwa haitumik kwenye mawasiliano na ilikwisha poteaga
N.b:nina shida nayo sana wakuu..
Niaje wadau,
Ni muda sana sijapost kitu humu ndani, mambo mengi. Leo ningependa kuwasilisha shell script niliyotengeneza kunisaidia kutafuta decrypted hashes, sana sana za MD5. Script hii...
Wadau,
Nahitaji msaada wenu juu ya hv vitu,
mana kwa mfumo, wa elimu Tz some time, mtu inabid ukatishe ndoto zako uangalie, ki2 cha kusomea kulingana na soko la ajira. Mana mifumo kwa hapa Tz...
File details:MT6580__TECNO__TECNO-L8Plus__TECNO-L8__5.1__L8PLUS-H805C1-L-160721V29
Naomba la kukopy toka kwenye simu ninayo download hayawashi simu sijapata file lenye details za hapo juu (Reason...
Vifaa hivi vifuatavyo bei yake inasimamaje?
i) Main switch "Havels" 12 ways
ii) Circuit Breaker "Havels" single phase
iii) Twin cable 10mm
iv) Single core cable 1.5mm kwa roll moja red,
black na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.