Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau mambo vipi, Juzi usiku maeneo ya Tazara nliibiwa simu yangu ni iPhone 6,kwa bahati mbaya icloud haikuwa active. Details nyingine kama imei nnazo, najua uwezekano wa kuitrack Upo na JF kuwa...
0 Reactions
1 Replies
559 Views
Hellow JF Members! Naomba kufahamu kama ni kweli betri za kampuni ya Samsung zina Tracking device na zinaweza kutuma Private Data zako na kwenye Savers zao? Kama si kweli hizo kama wires...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
jinsi ya kuifanya icloud iwe active hata mwizi/kibaka akiiba asiwezi kabisa kuidukua ahangaike kama walivyohangaika FBI
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu? Nimeazimia kwamba, nataka kununua Satellite Dish (nadhani natumia jina sahihi) yaani pamoja na receiver ili niweze kupata FTA channels. Hii ni kwa mategemeo kwamba nitaweza...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
salam wadau vigezo vipi vinatakiwa viwepo kwenye website yako ili kuinclude ads kama googleads, infolinks na nyingine? and which one is best? msaada wataalam
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari? Kwa wale wataalamu wa magari unapoweka mashine ya kupima gari na kupata matokeo haya tatizo linakuwa ni nini na linatatuliwa vipi? Si mnajua mambo ya mafundi akitoka hapo anapiga mpunga...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Natumia sony bravia smart tv na dish la azam. Kila nikiweka simu yangu on kwenye wifi inaletea sony bravia wifi inaonekana iko na nguvu sana. Naomba msaada wa kujua password maana inahitajika...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
habari wa ndugu.HUAWEI Y300 Inawaka lakini haifungui prpgram yoyote inastuck ikishawaka kaalama ka ua je nifanyaje kabla sijaenda kwa fundi
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi natumia cm ya android ninahitaji kutumia mb zilizoko kwenye cm yangu kwenda kwa desktop kwa njia ya hotspot je nifanyeje ili ikubali kukonect?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada wa wapi nitapata screen ya dell inspiron inch 17 new model na bei zake ni tsh ngap
0 Reactions
3 Replies
631 Views
Tafadhali naombeni msaada tutani Laptop Toshiba satellite Radius L10w-C2019 haifanyi Booting kwa kupitia Flash. msaada wa Haraka unahitajika kila niki bonyeza F 12, nimejaribu pia F2, ESC zote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Iphone kutoa icloud nani anaweza
0 Reactions
60 Replies
10K Views
Nimeambiwa nichague kufanya koz1 kati ya ccna au oracle db ,je nichague ipi wakuu? Ipi marketable kwa sasa?..natanguliza shukran
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nikidownload nyimbo kwenye Pc baadae nikiweka Kwenye flash zinakataa kusoma, inakuwa unsupported format, why?? Nisaidieni
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu mambo vipi! Naomba kuuliza kwa waliowahi kutumia au wanaotumia hivi vifurushi vya internet vya voda, wanidaidie kwa hili hiki kifurushi cha internet cha mwezi cha kudownload bila...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wadau nahitaji kujifunza hii software ya ArcGIS lakini sijui pakuanzia, ushauri wenu tafadhari.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarini wakuu Simu tajwa hapo juu.. Hatimaye Nimeweza kui unlock bila kutumia PC sasa naweza kutumia mitandao yooote .... Shukran ..
3 Reactions
51 Replies
8K Views
Kama heading inavyosema hapo juu, katila pita zangu nilikutana na simu ya samsung grand prime plus. Awali ilinivutia kwa mwonekano wake. Ila nikaamua kuzama mtandaoni kuona specs zake ndo nikaona...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini za usiku wadau, Tafadhali naomba kuelekezwa kama kuna sehem kwa hapa DSM wanatoa short course ya graphic designing na video editing na bei yake ikoje? Natanguliza shukran na niwatakie...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari jamani nmeletewa Kazi ya kuresize passport size iwe katika KB4 naombeeni msaada program itafanya Kazi kwenye computer kama ikishindikana hata kwa simu Naskia kuna MICROMEDIA FIREWORK 8...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom