Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu ningependa kujua namna gani naweza tengeneza picha katuni nikitumia iyo programe tajwa apo juu
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Je unahitaji software au huduma ya ku recover data zilizopotea either kwa kuformat au kufuta kimakosa? Wewe ni mwasibu na unahitaji account package kama quick book? Wasiliana nami kwa no hizi...
1 Reactions
3 Replies
965 Views
Quantum computing breakthrough could 'change life completely', say scientists nikisoma nakala hii Na kuangalia taifa letu roho inakuwa inauma sana.Tech gap inazidi kuongezeka tu Na mudaa cyo...
0 Reactions
2 Replies
720 Views
Siku hizi maisha yanakimbia sana na kila kukicha majukumu yanaongezeka kwa kasi ya ajabu, ni rahisi sana kusahau baadhi ya ratiba kama kufanya mawasiliano na watu wako wa muhimu. Hapa ndipo...
11 Reactions
45 Replies
16K Views
Tafadhali mwenye msaada wa jinsi ya ku updade hii hiyo simu kutoka lollipop kwenda kwenye newest version.
0 Reactions
2 Replies
896 Views
Habari zenu wakuu nilikuwa naomba msaada maana nimepokea E-mail kutoka UNITED NATION, Ila nikuwa naomba msaada wenu wakuu maana E-mail hii imenichanganya hivyo nilikuwa naomba mnichanganulie zaidi...
0 Reactions
38 Replies
2K Views
Kuna njia mbalimbali zinazotumika kufungua simu zinazotumia mtandao mmoja. Hapa tutatumia njia 2. Njia no 1: Maandalizi 1/ Kompyuta 2/ Simu iliyofungiwa 3/ Simu inayofanana na hiyo...
4 Reactions
13 Replies
9K Views
Wakuu ipi ni browser nzuri, kwa maana ipo faster na inaweza kusave page offline? Nawasilisha ~Cmb
3 Reactions
31 Replies
6K Views
Kwanini MB za internet zinakimbia hivi, 600MB ndani ya 30 mints zimekata, hakuna download wala update kwenye pc. Nimezima browser zote lakini bado inanipa hadi 2.56Mbps.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu,. Kuna uzi uliwekwa hapa jamvini namna kuweza kufanya rooting katika simu, mimi nimefanikiwa katika Android yangu. Naomba wajuzi wa mambo watusaidie what's next baada ya hili ili...
0 Reactions
3 Replies
725 Views
Habari zenu wakuu Wakuu, naombeni mnijuze athari ya kuroot simu, je, kuna athari yoyote ukiacha tatizo la kuharibu simu kwa kutojua kuroot simu! (2)naomba kujua pia nini madhara ya kuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau habari; Wakuu nina tatizo na simu yangu kucharge muda mrefu sana, ambako inafikisha mpaka Massa kumi na moja bado haijai, kwa SAA moja inajaza hats asilimia tano tu, hebu niambie tatizo...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, cha kwanza kabisa unatakiwa kujua lengo kuu la website unayohitaji. Mfano, habari, michezo, biashara n.k. Hii itasaidia kujua ni script gani itakayo kufaa. OK STEP YA KWANZA...
2 Reactions
17 Replies
8K Views
Wakuu habari za humu. Naomba msaada kwa yeyote atakayeweza kufungua simu yangu aina ya LG iweze kusupport huduma za tigo pesa na m pesa. Shukurani kwenu
0 Reactions
3 Replies
783 Views
Nb : Pamoja na hayo bado kwenye simu nimeweka memory card ya 4GB na sijahifadhi chochote. Sasa wakuu suala la storage kukosekana linakuja vipi? hata app ya 5 Mb nashindwa ku download! Please...
0 Reactions
5 Replies
852 Views
Kama una youtube ac ina suscribers kuanzia 2000 njoo DM tuongee biznezz
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natumia huawei G510 yaani inanipa shida sana kila nikitaka kuingia fb inazimika. Nashindwa kubaini tatizo ni nini. Pia najaribu kuingiza link ya kupata TV za hapa Tanzania inagoma. Msaada tafadhali
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wapendwa Tv yangu imegeuka picha. inaonyeaha upside down...kwa anayejuaa jinsi ya kuset msaada plwaaw
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu natumia device ya Lenovo na IWAPO TUU nikitumia SIM CARD ya AIRTEL na nikifungua Data, my device automatically GPS inajiswitch on!! Hata kama nikiswitch off!! After 40 or 30 second...
1 Reactions
0 Replies
606 Views
Back
Top Bottom