Wakuu habari zenu...
Nina laptop yangu ya toshiba, ilikuwa na window 7 ila baada ya window 10 kutoka ikabidi niipige window 10....
Baada ya kuipiga window 10 ilikuwa inasumbua kuwaka kwaiyo...
habari za humu...naombeni msaada kwa mwwnye ufahamu wa kudowngrade window phone...some days ago nilidownload window device recovery tool nikafata taratibu zote ila mwishoni inaandika...
Habari wana JF,
Nimepata tatizo moja kwny simu yangu, Samsung Note II ghafla imepata tatizo la kutopokea sms, ukijaribu kutuma sms kwa mtu mwengine zinaenda bila tatizo, shida ni pale mimi...
Wakuu mimi natumia samsung S.3 .mini!! Tangu juzi imeanza tatizo yaani upande wa f.b (facebook) kama nikikuta comennt au nikigusa file lake cm inazima na kuwaka yemyewe na ikiwaka inaniandikia...
Jaman cm yangu inatabia ya kujirudia sms endapo nikiizima na kuiwasha,namaanisha sms ambazo tayari nimeshazisoma nikiwasha cm tu zinaingia as a new sms
Kuna mtu wangu wa karibu ana tatizo, Pc yake aina ya Tajwa hapo juu (Dell Icore3) ina tatizo katika switch yaan power button, haibonyezek kwwnda ndani wala haitoki kwa nje, imekuwa ngumu sana...
Habari wana board..
Nahitaji kutengeneza App, Je kuna online platform au software ambayo Naweza kutumia!??
Nahitaji iwe from Website to Mobile App.
Ahsante..
sim yangu ni tecno n2 sim 1 lazima iwe laini ya tigo...
sasa juzi nmeflash upya lakini bado inanilazimisha niweke laini ya tigo... naomben msaada wa mawazo nifanyeje ili niweze kuunlock network??
Habari wana JF leo ningependa kushare nanyi makala kutoka katika tovuti ya Tanzania Tech, Njia hii inaonekana kuwa bora na ya haraka kwa kila mtu mwenye kompyuta.
Kwa kuanza basi kumbuka ni...
Khabari wana jamvi hili..
Nikiwa na tabasamu lenye tumaini la uimara wa afya zenu, naomba nikunje miguu kama nyie jamvini kisha tujumuike pamoja..
Ewaah..
Akhsanteni..
Kabla hamjanipa chakula...
Jinsi ya ku ‘root’ simu yako ya Android.
SASA TUJE KWENYE MADA;
Android ni Mfumo wa simu (Operating System) ambao unaboreshwa siku hadi siku. Mfumo huu una majina tofauti kutegeana na toleo lake...
Nahitaji kuhack simu ya android ili nipate sms za kawaida, za whatsapp, voice calls na call logs zake.
Software ipi na inapatikanwa wapi? Namna gani kuitumia?
Naomba ushauri.
Wanajamii naomba mtu mwenye ujuzi na simu anijuze. nimejichangachanga kidogo nina 200,000/= hivyo nataka ninunue simu yenye ubora mzuri. nahitaji TECNO je ipi nzuri kwa pesa hiyo au nikiongeza...
Habari wakuu..!!
Nina sony music system yangu ya miaka mingi kidogo kwa miaka zaidi ya 15 inapiga kazi.
Miezi miwili iliyopita haikutumika tulikuwa safari, sasa leo kuiwasha, inawaka lakini main...
Habari wanIT, bado nafikiria kwann IT wengi wa kibongo magumashi kwenye swala kujoin pamoja na kutengeneza ajira kwa wengine kama vile FB, Twitter, Google n.k. Kwann tunakuwa wabinafsi kiasi hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.