Hii flash sms ni kama zile sms tunazotumiwa na tigo baada ya kujiunga na kifurushi chochote.ukitumiwa huwa inakuja moja kwa moja imefunguka.
Nakumbuka enzi tunatumia nokia za kubonyeza keypad...
Habari ya kazi mafundi wana JF.
Samahani nilikua naomba msaada wa kuifungua simu aina ya Nokia N8. Ilijilock baada, ya kuweka memory kumbe kwa bahati mbaya ilikua na virus. Naomba mnisaidie nifanyeje
Natanguliza shukran zangu tafadhal wadau wa jukwaa hili naomben maelekezo jinsi ya kubadili au kurekebisha jina ninalotumia kweny google
Mfano natumia mandelaputin@gmail.com
Nataka nibadili iwe...
Niko dilemma kidogo hapa nataka kuongezea ka degree kangu ka ICT ila sioni kipya baada ya kufuatilia mitaala ya degree naona Ni yaleyale tu.
Kwa wadau mnisaidie kidogo maana nataka nishift...
Habari za mchana wakuu Nina cm 2 Samsung Galax s4 yenye version ya 4.4.4 ya pili huawei y 360 zote nmezifanyia rooting sasa nilikua naomba jinsi ya ku upgrade version niende kwenye 5.0 asanteni...
kume kua na umuhimu mkubwa kutoa taarifa na elimu juu ya ku root android devices leo nimeona sio mbaya tushirikishane kile tukijuacho kuhusu rooting.KABLA YA KUANZA: KUROOT SIMU YAKO KUTA...
embu toa maoni yako kuusu hizi tv je ni nzuri? je katika matumiz azipat moto?je umeshatumia au iliwai kwenda kwenye kumbi za sinema ukatumia siku hiyo uliona utofauti gani.embu tujuzane na mm nijue
Habari zenu waungwana mimi shida yangu ni kwa mtu yeyote aliyewahi kutumia ARDUINO au kuwa na uelewa nayo katika kusoma na kuandika data kwenye hizi eproms za tv ,vcd,dvd nakadhalika kwani hicho...
Habarini za asubuhi wapendwa, kwa atakayeguswa naomba anijuze kama ana technique yoyote.
Kwa ufupi simu yangu (tecno tablet imeingia maji) inawaka na kuzima inaniumiza kichwa coz bado mpya na...
Habari wana JF leo ningependa kushare na nyie jinsi ya kutumia flash yako kama ufunguo wa kompyuta yako au password, Basi kwa kuanza basi ni vyema tukajua faida za kuwa na password katika flash...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.