Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu Mimi si Fundi wala sina utaalamu wa mambo ya umeme nini kinasababisha feni inachelewa kuwaka ukiwasha afu hata ikiwaka inafanya kazi na kusizi baada ya mda fulani
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Wakauu hii PC nimekuwa nitumia mda mrefu ila ghafla naona spika moja haitoi sauti Mwenye ujuzi msaada hapo nini kifanyike Ili hata nikiwa naenda kwafundi nijue napeleka nikiwa najua shida ni kitu...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Ni mda sana umepita nilikuwa najaribu kufungua akaunti ya paypal nashindwa leo nimeweza,nimeona kushea na wengine waliokua na tatizo kama langu wafaidike. Zingatia yafuatayo; 1. Hakikisha una...
4 Reactions
44 Replies
6K Views
Naomba ushauri nitumie app gani? ili niweze ku-print document moja kwa moja kutoka kwenye simu Samsung S4?
1 Reactions
0 Replies
2K Views
kwa habari zaidi bonyeza HAPA. mia.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu nimetumia heat sink compound ambayo picha yake ipo hapa chini..lakini ps3 bado haijaacha kuoverheat,japokuwa kuna mabadiriko tofauti na mwanzo..sasa hv haizimi nikiweka maximum fan...
0 Reactions
1 Replies
580 Views
Naombeni msaada wa kutengeneza vertical post kwenye website kwaanayefaha code zake asanteni
0 Reactions
5 Replies
794 Views
naomba kujuzwa ubora wa hizi tv za tcl naskia ni kampuni moja na hitach. ni nzuri kwakuitumia na haina matatizo? ahsante
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari wakuu, Nime install hii application ya GB Whatsapp lakini napata ugumu wa ku quote Ujumbe wa mtu binafsi katika group, tofaut na ile Whatsapp ya mwanzo niliyokuwa nnimezoea. Kwa mwenye...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habarini wakuu nina simu yangu samsung S5 nitafuta ile mbaya sehemh ya hotspot nimekosa ni yangu tu au tupo wengi?
0 Reactions
2 Replies
874 Views
JINSI YA KU UPDATE ANDROID KITKAT KWENDA LOLLIPOP No Computer needed….. Utangulizi: Bado Teknologia inakua kila sekunde.. Yapo Maboresho kila Nyanja hasa katika Mawasiliano kwa ujumla. Kompyuta na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau iv nawezaje kupata dab emoj ya ukwel kama unayo share link tu download
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa kutumia hii app ni rahisi sana kuroot simu za android hii appinaitwa frame root 1.download hapa http://forum.xda-developers.com/attachment.php?attachmentid=2784451&d=1402084843 2.fungua...
4 Reactions
139 Replies
32K Views
Naomba msaada wadau.... Kila nikiupload video clips za mechi za ulaya haikai muda inakua blocked worldwide. Tatizo ni nini? Maana unakuta watu wengi wameweka video hiyohiyo lakini mimi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Najifunza mambo web design lakini kupitia internet kuna sehemu Hii nimekwama nisaidie kila nikiweka link inakataa kusearch inaniambia era nisaidieni jamani uwa naandika link namna Hii <!DOCKTYPE...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu, Msaada wa haraka Kama Uzi unavyo eleza. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nahitaji kuhamisha line ya simu toka moja kwenda simu nyingine mpya,nahitaji kuhama na msg zote za simu A kwenda simu B.nini naweza fanya?maana kuna msg muhimu ktk maisha yangu nitazitumia siku za...
0 Reactions
5 Replies
780 Views
Naombeni msaada kujua hasi na chanya kwenye kifaa kinachoitwa resistor na kujua utofauti wa Ohms tafadhali
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Nimepata barua yenye PIN za kufanyia account verification, na nimefanikiwa ku-verify account, sasa naomba kufahamu ni baada ya siku ngapi nitatumiwa hela ambazo zipo kwenye account yangu ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Za asubuhi wandugu. Naombeni msaada wa software ya kuchanganya video na inayoweza kusave hiyo kazi moja kwa moja kwenye mashine. Natanguliza shukrani
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom