Aseee kuna huyu dada anaitwa fatma ana website tatu nazozifahamu
1: Ocean of games; hii ni kwa ajiri ya kila aina ya game na crack zake
2: get into pc; hii ni kwa ajiri ya app yoyote unayoitaji...
Baada ya simu yangu kusumbua kwa mda kwa kuzima au kugoma kila nikiingia fb, nimegundua tatizo ni kua app ya fb sa hivi new android version yake imekua 5.1, kwa hiyo kwa simu nyingi zenye chini ya...
Wakuu naombeni msaada simu yangu vitu vingi vimejaa ni samsung sasa nimeweka memory card kila nikitafuta sehemu ambayo nataka vitu ntakavyoweka au kudownload viende moja kwa moja kwenye memory...
Wakuu Habari,
Nina listing yangu on "Google Local Business" a.k.a Google my Business but not verified. Ili uwe verified watakutumia postcard yenye code utayoingiza kwenye akaunti kuverify business...
Hello,naombeni msaada ndugu zangu..king'amuzi cha startimes channels zimefutika..zmebak channel zao za matangazo pamoja na tv1 tu..nafanyaje kuzirudisha??nmeshafanya search lakini zinarudi hzo...
wakuu habari za wakati! naomba kupewa msaada nataka kulink account yangu ya CRDB na paypal sasa nimekwama kwenye routing number, debit card na bank account msaada wenu ni muhimu sana.
Nimeanza kusoma soma baadhi ya vitabu kuhusiana na hii kitu(Arduino) na nimekuwa interested kujifunza zaid ila nimepata changamoto kubwa mbili.
kwanza ni kuhusu vifaa sijui naweza vipata wapi kwa...
Habari za muda huu Wanajukwaa..
Nina simu moja Sumsung Grand Prime tatizo lake ni kwamba, imewekwa laini lkn inaandika "Emergency Call" na ukijarbu kupiga inasema "Nertwok not registered"...
After months of months of hard work I finally did it nimeweza reverse engineer cryptolocker.It was amazing hii experience all my years of programming ila cjawahi pata hii experience ya ku reverse...
->Je Programming Language ni nini ?
Kama hauna idea kuhusu maana halisi ya Programming Language basi ACHA usijifunze.
->Je nianze kujifunza Programming Language ipi ?
Hii inategemeana na wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.