Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba mwenye elimu kuhusu MacBook Pro,ninahitaji msaada Wa kuweza install VLC media player ili niweze furahia baadhi ya downloads !maana nikidownload Google zinafeli kuplay!Msaada tafadhali
0 Reactions
14 Replies
2K Views
nokia wametangaza kuzindua simu mpya nokia 8 yenye kutumia android simu iko poa sana ayse hawa wataifunika samsung
0 Reactions
40 Replies
4K Views
JHabari za asubuhi! Naomba msaada kwa wataalam wa laptop ukiiwasha inaandika "internal hdd hard error, strike f1 key to continue, f2 to run the setup utility"! 1. Baada ya kubonyeza kifungo F1...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndg wanajamii forum kwa yeyote yule anaejua Ku upgrade version ya tecno Y 4 ambayo iko rooted naomba anisaidia na mm njia zip nifwate
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Wakuu mi sio mtaalamu sana wa mambo ya computer,sasa nimenunua pc ya apple(macbook),na haijaja na window system,system iliyokuja nayo inanichanganya nataka niinstall window ten,naombeni msaada wa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za muda huu waungwana Kwanza natanguliza samahani kama nitakuwa nawaboa ila kiukweli nataka kujua Hivi ni kweli sony xperia z3 ni water proof Mimi nimenunua juzi simu ya aina hiyo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba mwenye kujua anisaidie kuna simu ya tecno h5 ina tatzo ukizima data inajiunga kisha inaanza kudownload vitu vya ajabu ajabu. Betri nayo inachemka na kuisha chaji haraka sana. ASANTENI
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Wana jamvi, Kwanza habari zenu, pili naomba kielekezwa jinsi ya kurudisha namba au sms kama umezifuta kwa bahati mbaya.
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nimedesign elelctronic circuit sasa nataka niiprint kwenye PCB ila sifahamu wapi naweza kupata hii huduma hapa Dar.Asanteni wadau
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji mwalimu mzuri wa computer language Ambaye atanielekeza language zote deeply Malipo tunazungumza baina ya mm na yeye Nb:awe anaeleweka anaezielewa language sio kunikaririsha Kama Uko...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Simu yangu ilikuwa inaniletea sms ya kuupdate system nilikuwa naipotezea lakin jana nikahamua kuifanyia update baada ya kumaliza kufanya update tatizo la kupoteza network likaanza naweza nikawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa technition wa Jamii Forum Nimekua natumia iphone app kwa muda sasa, lakini leo 30 may App ilikua inagomagoma kuappdate nikaona niidelete ni download upya!! hua nafanya hivo kama ikiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kama nilivyoeleza hapo juu natafuta mwalimu wa kunifunza java programming niko interest kuisoma naipenda nataka kudevelop au Android apps... nafahamu HTML na basic knowledge ya C nipo DAR
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam sana, Nimeinstall office software 2010 kwenye computer yangu, sasa inahitaji activation keys. Naomba msaada wa yeyote mwenye key. Nahitaji mbili pamoja na mwenzangu ofisini. Ninashukuru...
0 Reactions
4 Replies
981 Views
Habar wakuu nna pc yangu aina ya HP probook ci5 nlmuazmisha mtu akataka kuicharge kwa adapter tofaut ikapga shot ile adapta na pc ikagoma kuwaka pia imekatka huks (frame zlzo shkilia kioo) naomb...
0 Reactions
3 Replies
671 Views
Wakuu natumai nyote mu-wazima. Binafsi ni mgeni katika blogging business, I have gotten my own blog, sasa najua humu kupo na wataalamu na wazoefu wa hii business. Hivyo basi naomba kusikia kutoka...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi ni kijana ambae ni mtafutaji nataka niwekeze kwenye blogging hivyo basi naomba mwongozo na ushauri juu ya kazi hii. Na pia nawezaje kujiunga na Google AdSense Ahsanteni[emoji120]
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii nahitaji msaada wenu kuna hii issue ya internet kwa vpn anaejua msaada tafadhari...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Hello team, My email has been hacked, recovery email and phone changed. Cant get back my contents. How can I go about this?
0 Reactions
1 Replies
633 Views
Naomba anayeijua bei ya kifaa hiki kutafutia uelekeo wa dishi naomba anijulisha.NB: maduka yaliyo ninakoishi hayauzi kifaa hiki.
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Back
Top Bottom