Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Bajeti ya kwenda Dukani haitoshi hivyo kwa yeyote aliyenayo tuwasiliane 0718295182 Bango
0 Reactions
0 Replies
434 Views
mwanzo video zote zinazopostiwa zilikuwa poa,lakin toka ni update video aziplay kabisa naomba msaada kwa expert:
1 Reactions
0 Replies
614 Views
Habari wanajamvi Nahitaji msaada,simu yangu inazima hovyo hovyo,tena nikiwasha internet ndo balaa, mwenye utaalam namna ya kuifanya irudi ktk hali yake nisaidie tafadhali. Shukrani.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
TAIFA A3 LAPTOP The TAIFA Brand Laptop is a product of the Nairobi Industrial and Technological Park (NITP). NITP is a kenyan vision 2030 flagship project between Jomo Kenyatta University of...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu! Natarajia kununua laptop yenye specifications hizi; RAM 2GB, processor intel celeron N3050, 32GB SSD. Brand nayotaka kununua ni dell inspiron 11.6". Ningeomba mtu mwenye...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Sijui cha kufanya Napata ujumbe ''your video file is missing' kama inavyoonekana kwenye picha
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hi every one , can any onehelp me with this..... various factor wich affects the efficiency of analytical instruments comonly used in biotechnology
0 Reactions
2 Replies
660 Views
Habari za jioni, Wadau nahitaji solution ya automatic backup, ila sina uzoefu wa namna inavyofanya kazi
0 Reactions
0 Replies
435 Views
Hi once again database administrators i need help to solve this problems
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habar wana tekinolojia naomba msaada juu uwezekano wa kupata simu ya samsum mpya original kwa shillingi laki tatu tu mfano samsung j5 au S4 au note3 au yeyote yeyote yenye angalau kioo kikubwa kidogo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari Wana-JF wenzangu. Kila nikijaribu kufungua link ya matokeo ya form four yanakataa na hapa natumia opera mini kuufungua matokeo!! msaada!;;
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari zenu wanajukwaa...Kwa dar wapi naweza kuoata pc yenye hizi specs kwa bei rahisi na ubora mzuri. Core i7 2.7 ghz ram 4gb video memory 2gb model yoyote
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari za mchana, Poleni na majukumu. Nataka nisikie kutoka wa mtumiaji wa TECNO W5 Lite kama ina uwezo wa 4G. Ninatumia Vodacom na mkoa niliopo bado Vodacom 4G haijafika. Asante.
1 Reactions
2 Replies
986 Views
Soldering station ni bei gani na wapi zinapatikana
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Naomba kujuzwa kama mita zinazopima Equivalent Series Resistance(ESR) of capacitor zinapatikana kariakoo?
1 Reactions
1 Replies
496 Views
Wakuu habari zenu?sorry natatizo ktk application iyo(instagram) tangu jana najaribu kulog in haitak kabisaa na anuani ni ile ile hata neno siri pia ni lile,imegoma jana hadi leo hii,upande wa...
1 Reactions
3 Replies
796 Views
Kutengeneza Messenger App nahitaji kujifunza jinsi ya kutengeneza messenger App ya kawaida tu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Msaada wadau nahitaji kufungua email address yenye jina langu mwenye ujuzi tafadhar ninyoeshe njia. Asante
0 Reactions
11 Replies
3K Views
naomba kuuliza kifaa hiki kiitwacho 3d video magnifier je ninaweza kuchomeka simu kwenye hiki kifaa na nikafungua documents mfano za pdf na zikaonekana kwenye hichi kidude. au kinafanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
505 Views
Naombeni msaada kwanini computer yangu nikiingiza code(html,css) za picha video na audio inakataa naombeni msaada labda kuna sehemu natakiwa kurekebisha
0 Reactions
2 Replies
891 Views
Back
Top Bottom