Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
habarin wakuu kama ilivo ada watu wa hili jukwaa LA sayansi huwa tunatoa facts na possibilities katika mambo ya sayansi... sasaa kutokana na hiyo heading napenda kujua ni kwa namna gani google...
0 Reactions
7 Replies
981 Views
Sio smartphone Ni hizi Za kawaida na haina uwezo wa internet Nitawezaje kuifanyia factory reset? Bango
1 Reactions
37 Replies
11K Views
Wenye link ya hio software ya adobe premiere pro ambayo hiko cracked anisaidie, Mambo ayaendi, maji yamenifika ..... Msaada tafadhari nahitaji kuipakua
0 Reactions
8 Replies
831 Views
Habari wakuu, nimeamua kujifunza umeme kidogo kuongeza ujuzi katika tasnia yetu ya teknolojia. Ningependa kujua kwa wazoefu vifaa hivi vya Circuit ndogondogo za kujifunzia naweza kuvipata wapi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Unakumbuka lile sakata la mmoja wa wagombea kiti cha Urais nchini Marekani kukumbwa na kashfa ya kutumia anwani ya barua pepe binafsi kufanya shughuli za Serikali? Au umeshawahi kuona barua pepe...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari za leo wanaJF..? Naomba msaada wa kitaalamu juu ya simu tajwa hapo juu.. Hii simu nimeitumia tangu 2014 May lakini siku chache zilizopita ilianza kuleta maandishi juu ya kioo ambayo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nahitaji set up ya Windows 10 professional na 7 professional.... kama kuna mwenye nazo au analink ya zinakopatikana naomba anichek PM
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Habari wakuu, heri ya mwaka mpya. Nmelog in google drive kwene different devices, na nikifanya any changes i.e deletion, ku move, ku edit notification inakuja kwenye kila device kuwa "You done...
0 Reactions
0 Replies
470 Views
Msaada kwenu wadau, Nisaidieni jinsi ya kudownload free game la fifa, nimejaribu kudownload limegoma kufunguka wanataka hela.
0 Reactions
4 Replies
12K Views
Salaam wandugu, Nilikuwa nina type text, ghafla ika display blue screen kwenye kioo na kuzima. nikajaribu kuwasha inawaka kwenye ile logo ya lg then blue screen inatokea na kujizima. nikatoa betri...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Samahan wana jf ni coz gan ni nzuri ya computer unayoweza kukupa kazi au kukusaidia kwa maisha ya sasa wakati nasubili matokeo ya form four ya kwenda advance na inaweza chukua mda gan Natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa wale wataalam wa kutafuta TORRENTS plz naomba mnisaidie niweze kupata Movies za SIDNEY SHELDON maana nyingi nazopata kwa sasa zina seed zero. so hazi download. ikiwa kuna sehemu ntazipata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nahitaji kutengeneza business card zilizodizainiwa kwa kiwango. Kama unaamini wewe umebobea kwenye kazi hii naomba shusha sample yako hapa na quotation zako ili nikupe kandarasi. Nb: kwa wale...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msaada kwa mtu anaeweza ku_unlock IMEI za simu ili iweze kusoma line zote, line #1 inasoma tigo tuu nkiweka chip nyingne inadai password, ni huawei. Msaada pliz kwa yeyote awezae
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wana-Jf? naomba msaada wa kufahamishwa juu ya picha hii kuwa ime_dizainiwa kwa tool Ipi (kama inaweza kuwa katika PC)? au application Ipi (katika smartphone)?
0 Reactions
1 Replies
696 Views
Wakuu tatizo ni nini, kila nikituma ujumbe wa kawaida kwa njia ya simu , meseji haziwafikii kwa wakati, vivyohivyo nao wakinitumia zinachelewa kunifikia!
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Yiutube account naweza kuipataje tafadhari naitaji kujua
0 Reactions
1 Replies
848 Views
Wakuu bila shaka hamjambo, nimekuwa na tatizo kwenye printer yangu wakati wa kupiga copy na ku-print wino umekuwa ukionekana kumwagika sana upande mmoja kama inavyoonyesha, kama kuna wataalamu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Heshima yenu wakubwa, Naombeni kufahamishwa mbinu za kuanzisha mbinu za e-commerce kama Amazon, Alibaba na kibongo bongo kama Kupatana. Nipeni msaada wa je kuanzisha na kuendesha kwake huwaje na...
1 Reactions
1 Replies
722 Views
Back
Top Bottom