Wanajamvi naomba msaada au ushauri,
Hivi inawezekana au kuna apps zinazoweza kupokea au kuzipata sms na calls zinazoingia katika simu nyingine bila mwenye hiyo simu nyingine kujua kuwa kuna mtu...
Wakuu Nilitoka kidogo kwa muda kama wa miezi sita hvi sasa leo nimerejea hapo Nyumbani kusabahi ndugu jamaa na rafki na kujumuika nao holiday hii wakati naondoka halotel ilikuwa ni H+ plus muda...
Kifaa hiki kimefanikiwa kupokelewa na mtandao wa JAMECO,Ambapo kifaa hiki kitatengenezwa kwa packaging nzuri na kuuzwa kote duniani
Kifaa hiki kwa mara ya kwanza kilichapishwa HAPA
Baadae...
Wakuu habar zenu. Nilinunua iphone 6 yapata miez mitatu sasa, jana tarehe 27 nov imepata ajali kioo kimepasuka. Nomba kuuliza kama naweza fanyia repairing na itacost sh ngap kwa kioo au kama...
Nauza cm nokia lumia 525 kwa bei poa ya sh 120000.
Cm ina internal memory na extenal memory.
Internal ina 7gb.
Extenal ina 2gb
Pia inakamera kali sana. Njoo inbox au piga 0657623266
wakuu salaam
ipo hivi, kuna ndugu yangu ameitwa mbele za haki sasa muda huu tunaandaa wasifu wake lkn kikwazo kimoja ni kwamba documents zake zote kuhusu elimu na mambo mengine yapo ktk pc kwahyo...
Kwanza habari zenu wana JF Nahitaji msaada wenu, niliroot tecno J5 ikakaa poa ila nikahitaji kui Unroot na nilipo jaribu kui unroot imekua ikiwaka inaishia tu pale linapokuja neno tecno mpaka...
Ni karibu miezi miwili iliyopita tangu kampuni inayoaminika sana ya Samsung kutangaza kuondoa toleo moja sokoni la Galax note 7,
Kampuni hiyo Ndiyo kampuni niliyoiamini zaidi, lakini kabla ya...
Kuna huu mtandao wa alibaba naombeni mnisaidie jambo moja jamani huu mtandao nimeupenda sana una bidhaa ambazo ni cheap sana ila tatizo linakuja kwangu pale kuwa wanahitaji mtu kuorder bidhaa...
Habari wadau!..
Vugu vugu la ukuaji wa teknolojia kwa nchi afrika wenzetu kenya wameamua kufanya kwa vitendo, Wakenya wote kwa pamoja wameweka tofauti zao za kiasiasa pembeni na kushiriana na...
Wadau habari zenu ,
Kwa mda mrefu sasa simu yangu imekuwa na tatizo la video kutotoa sauti au kutoonyesha kabisa nikiipost Instagram
Lakini uki play kwenye gallery inakubali tatizo linakuja Niki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.