Habari zenu wapendwa. Naombeni kujuzwa utofauti uliopo kwenye hizi simu za huwawei yaan kwa mfn tofauti kati ya HUAWEI P9, HUWAWEI MATE8 na Huwawei G8 (kwa ujumla utofauti kati ya simu za huawei...
Nimeitafuta sana Post yangu niliyoomba msaada namna ya Ku-unlock Huawei E303 lakini sikuiona.
Ila hatimae nimefanikiwa kui-unlock. Hii ni Vodacom E303 nimeweka Airtel firmware kisha nikai-unlock...
Habari wakubwa.
Hivi kununua vitu online kama eBay au Amazon market ambamo kuna sehemu najaza info zangu za bank, ni safe kweli ktk pesa zangu za bank? Sometimes nahisi kama wajomba wanaweza kua...
Huna haja ya kufika ofisini huko huko ulipo tunatoa lock na kuweza kuitumia kwa laini yeyote uipendayo. Pia tunatoa network lock samsung huko huko ulipo na malipo utafanya baada ya kujirisha na...
Jaman naomba mtu anaye weza kunisaidia jinsi wanavyotengeneza App za simu...hasa social application...ikakaa kwenye android app watu wakaidownload ...mfano...millardayo app..mtembez nk
Naomba...
Home
Technology
Tricks & Guides
Tech Facts
Hacking
Programming
Gaming
Researches
Inventions
Home Popular 10 Reasons : Why should we use Linux?
10 REASONS : WHY SHOULD WE USE LINUX?
By Vicky...
Nahitaji kununua tablet yenye sifa hizi nicheck kama unayo
Brands ni Samsung/LG/Lenovo/HTC
Android version ni kuanzia 4.4.4
(Kitkat)
RAM at least 1. 5GB
Internal at least 16 GB
Size at least...
Wapi naweza kupata hii simu.Naona inakuja na Android ver6 ambayo ina features nyingi nzuri.Nimejaribu kutafuta kwenye maduka ya online bado haipatakani.Vipi kuna ambaye ameshatumia android ver6...
KUHUSU 3D
Picha kwenye screen ya kawaida inaonekana flat, kwa vipimo viwili "2 dimensions", "2d". Picha ya 3d, mbali ya kuonekana kuwa na upana na urefu, inaonekana pia kuwa na kina, na ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.