Jamani wadau, hivi hizi simu ya iTEL android zina Ubora kama tecno au ni mbovu. kama kuna aliyewahi kutumia au anayezitumia anijuze tafadhali kama ziko powa au ni model gani ya itel iko powa na ni...
Habarini wanajukwaa, Nina simu. aina ya saSamsung galaxy core prime g360p, hii simu ina support network za LTE na CDMA tu na sidhani kama ina GSM, je nitawezaje kuitumia hii simu kwa mitandao yetu...
Wakuu msaada wenu tafadhali naomba mnasaidie kuwa laptop ya Mac Book Pro ya apple inaflashiwa kama laptop zingine, na kama ndiyo kuna madhara yoyote yaweza kutokea?...... Na kama haiflashiwi kwa...
Naomba msaada . Leo wakati niko nyumbani nikachukua laptop nikawasha kawaida baadae mama watoto akaniletea bwana Mdogo nimsikie gafra dogo kapiga keyboard kwa kiganja soon desktop ikawa upside...
Habari za j2 wakuu, simu tajwa hapo juu imekuwa na tatizo la kuji restart yenyewe mara kwa mara, sasa naomba msaada kwa mwenye kujua ni jinsi gani naweza tatua hilo tatizo. Asanteni
Wadau kwema, mimi natumia sim ya mfumo wa android Lollipop anayeweza kujua jinsi ya kudownload game ya mpira wa miguu ya sim ya FTS17, ambayo ni update ya game FTS15, nimejaribu kupitia Playstore...
Wadau wa jukwaa hili leo naweza kukiri mbele yenu kuwa nimekuwa nikihamahama katika matumizi ya simu kutokana na kufifia kwa Simu za Blackberry katika soko la simu hivyo nikawa sina uhakika na...
Habarini ndugu jamaa na marafiki. Mimi nimeamua kuachana kabisa na XXX. Lakini kuna zingine huja bila kukusudia kwamfano ktk mitandao ya kijamii. Hivyo naomba mwenye uelewa wa jinsi ya kublock...
Habari wataalamu wote wa Jukwaa hili.
ninatumia Router ya VODACOM kwa ajili ya kupata wireless internet ila inatumia line ,oja ya vodacom tu.
Nauliza je kuna sehemu ambayo wanaweza pata mafundi...
habari za asubuhi wana jf..
Nina somea computer science level ya degree,nahtaji kufahamu ipi inalipa zaidi katika upande wa technolojia hasa hapa nyumbani kati ya kazi za programming Na...
Msaada tafadhali, nina dell precision t7500, nimeweka hdd 2 za 500gb, na ssd yenye windows, inaniletea error hiyo hapo kwenye picha.
Tafadhal kwa yeyote mwenye suluhisho anisaidie.
habari za majukumu wazee,natumaini mu wazimaa?
msaada kwenye tuta.....
mimi natumia macbook pro 8,1 naomba msaada wa jinsi au namna ya kuconnect macbook pro 8,1 kwenye modem,nimeangaika sana...
Wadau kuna mtu anahitaji laptop used iwe ya aina yoyote na ukubwa wowote... But iwe katika hali nzuri kidogo bei iwe Tsh. 200000/=
Kwa mawasiliano 0656801229
Wakuu habari za kutwa?
Samahani jamani kuna gmail address yangu inatumiwa na mtu lkn bila idhini yangu af mbaya zaidi kwenye ACC ya email yangu nilikua sijaweka picha mbaya zaidi kaweka mpaka...
WAKUBWA NIANAOMBA MSAADA WENU...KWA JINSI GANI NITAWEZA KUPATA VITABU VIFUATAVYO :-
Introduction to Business ABE Study Manual
Ian Marcouse, et al.,Business Studies, 2nd Edition (2003) Hodder...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.