Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu wakuu! For time being nimekua nikiwaza kufungua blog lakini changamoto imekuwa ni aina gani ya blog inayolipa! Ni nini watu wanapenda ili nikiweka katika blog yangu niweze kupata...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakati wa uzinduzi wa iphone 7 mnamo September 7 iphone walithibitisha kwamba simu zao hazitakua na wired earphones bali zitakua wireless. Apple airpods zinakua runed by apple chip w1 ambayo...
11 Reactions
96 Replies
14K Views
Pakua electronic book(e-book) for free... Download free ebooks at bookboon.com
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni Mtanzania, naombeni kuuliza kama kuna mtu anafahamu kama Kindle Fire zinazouzwa na Amazon zinaweza kufanya kazi Tanzania bila matatizo. Kama matatizo yapo ni yapi, je yanaweza kutatuliwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
google is good
0 Reactions
4 Replies
784 Views
Tangu Kuanzishwa mwaka 2007, Kindle imajizolea umaarufu mkubwa kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya majarida, vitabu, blogs na habari mbalimbali kutoka vyombo vya habari vianavyotoa habari...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
wadau,mimi nina mpango wa kununua amazon kindle,hii ni tablet ambayo nadhani sio maarufu sana kwa hapa bongo kama zilivyo za ipad2,samsunng n.knaombeni ushauri kuhusu hili,kwani nimeziona tu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari msaada jinsi ya kuweza kupata vitabu bure bila kupitia amazon kutumia kindle
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nataka Ninunue Kindle Kwakua Napenda Kusoma Vitabu Sana, Nilisikia Ni Nzuri Kwa Kusomea Sasa Nachouliza Kingne Ni Je Unaweza Kuitumia Kuingia Net Na Kubrowse? Na Vingne Kama Unavijua Inavowezesha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau wa Electronic Device, Nimekutana na hii kitu "Amazonkendle". Nimeletewa tu kama Zawadi na demu wangu yupo nje, lkn mi sijui hata matumizi yake na inatumikaje?? Kwanza ni Black and White...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Msaada, wapi wanauza amazon kindle kwa hapa Dar es salam?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hello wadau,Tunapenda kuwatangazia kuwa offer za Pawahost dot com bado zinaendelea kwa huduma zifuatazo. Website Designing+1 year free hosting. Project Management System-Inayokupa fursa ya...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Wakuu hii Software nilisha install lakini sijawahi kuangalia mpira hata Siku moja lengo lengo langu nicheki Sys ports, bEiN Sports, BT sports Channels lakini inaonesha Al-Jazeera tuu Nimepitia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wapendwa kuna tofauti gani kati ya whatsapp nilizotaja hapo juu na nini faida ya kutumia whatsapp GB Naomba kuwasilisha
0 Reactions
15 Replies
5K Views
wana JF kama mtu anajua apn na proxy za free net mtandao wowote tufahamishane tafadhari. vifurushi vimekazwa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa..naomba msaada ya kuifanya home theatre yangu iwe inakubali ku play music au video za aina yoyote ile ninazoweka kwenye flash maana sometym zinaplay some tym zinakataa...
1 Reactions
1 Replies
867 Views
naomba msaada wa keys za visual dj 8 mwenye nazo anisaidie plz
0 Reactions
6 Replies
996 Views
habari wanajf nahitaji kila nikiingia whatsapp inaniambia niupdate ila cha ajabu nikiupdate inahitaji wifi je wifi ina washwaje ili niweze kuupdate natumia nokia lumia 525.
0 Reactions
1 Replies
529 Views
Habari za muda waheshimiwa Hivi hapa kwetu Tanzania sana sana Dar kuna dealers wanauza motor particularly induction motors, size ndogo, kati na kubwa. Natanguliza shukrani za dhati
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Nina mziki wa Sony mini HiFi model GZR999D tatizo ni kwamba nikiongeza sauti unajizima na iyo hali uwa inatokea Mara kwa Mara nakosa data kabisa ya kuenjoy Ila kuna muda una kaa sawa. Msaada...
0 Reactions
3 Replies
884 Views
Back
Top Bottom