Amani iwe kwenu..
Nimepata ka tender kadogo hivi ka ku manage social media accounts za kampuni fulani. sasa nataka nioneshe ubunifu ili mpunga uzidi kuwa mwingi si unajua mkulu bado shimo...
Wakuu nimeibiwa kasimu kangu ka kupangusa aina ya huawei.
Nifanyeje ili kafungwe kasitumike tena kabisa au nikapate?
Ninazo imei namba zake.
Msaada please
1.LUCKY PATCHER
Hii inapatikana kwenye websites mbalimbali especially Google unaweza pata APK yake ambayo ukitaka kuInstall
1.nenda settings>unknown sources uziruhusu
2.nenda Install Apk...
Wakuu nauliza laptop used ambazo keyboard yake ni Germany or French keybord zinafaa kwa matumizi ya kibongo vingine vyote ni sawa kama ram .hdd. cpu mpka 2.8Ghz
Samahan wakuu nahitaji kujua Ipi ni bora zaidi na ipi inafaa kuliko nyingine kati ya sansung galaxy s5 na samsung galaxy j7 kwa ujumla ipi ni nzur kwenye kila kitu kwanzia specification mpka utumiaji
Hii course inatolewa Havard University kupitia mtandaoni (online) na wanafundisha vitopics hivi;
-Abstraction,
-Algorithms,
-Data structures,
-Encapsulation,
-Resource Management,
-Security...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.