Am not aiming to intimidate or do have hidden intension behind this post. However, I felt the need to question why Ugandans page is so damn boring. Please, if you don't mind, be active.
Thanks
Maafisa polisi katika uwanja wa ndege wa Entebbe nchini Uganda, leo wamewakamata wasafiri 23 waliowasili katika uwanja huo wakiwa na vyeti bandia vinavyoonesha kwamba hawana maambukizi ya virusi...
Mwanasiasa na mwanamuziki wa Uganda, Robert Kyagulanyi, al maarufu Bobi Wine, ameiambia BBC kuwa nyaraka zinazohitajika kwa ajili ya uteuzi wake wa kugombea urais zimepotea katika ofisi yake baada...
Churchill Owaci(22) ameuawa na wachezaji wenzake kwa kufanya makosa yaliyopelekea kufungwa goli kati mechi ya kirafiki baina ya timu mbili za mtaani
Mwenyekiti wa Kaunti ndogo ya Agoro, Denis...
A major hack that compromised Uganda’s mobile money network has plunged the country’s telecoms and banking sectors into crisis.
The Oct. 3 hack was a result of a security breach on a consumer...
Rais wa Uganda, anayejulikana hadharani kama Yoweri Kaguta Museveni, amebadilisha rasmi majina yake, kujumuisha jina lake la utoto,Tibuhaburwa.
Jina la Tibuhaburwa katika kabila lake la...
Wizara ya Afya ya Uganda imefanyia marekebisho muongozo wake wa kukabiliana na corona ambayo itawafanya wagonjwa wa Covid-19 wasioonesha dalili ya maambukizi kutolewa hospitali bila kufanyiwa tena...
MY TAKE: 2 days after signing a Host Agreement, Museveni is paying JPM a visit in Chato.
Waiting to see if Uhuru will invite himself this time to Chato and offer a word of an apology to JPM as...
Moto mkubwa umezuka katika jengo la Utawala la Chuo Kikuu cha Makerere Jijini Kampala nchini Uganda usiku wa kuamkia leo
Jengo hilo ni moja ya vivutio Jijini Kampala hivyo taarifa za kutokea kwa...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kuwa shule na taaissi zingine za elimu ya juu, zitafunguliwa tena kuanzia mwezi ujao. Hatyua hiyo inakuja wakati Uganda kufikia sasa imerekodi visa 5,380...
Polisi nchini Uganda wametibitisha kuwa kichwa cha mtoto kilichokatwa, kilichopatikana katika kikapu cha mwanaume aliyekamatwa kwenye lango la Bunge nchini Uganda Jumatatu, kilikuwa ni sehemu ya...
UGANDA: MWANAMUZIKI MBARONI KWA KUKIUKA TARATIBU ZA KUPAMBANA NA #CORONAVIRUS
-
Polisi katika Wilaya ya Kyotera wanamshikilia Mwanamuziki wa miondoko ya Dancehall, Richard Kasendwa au maarufu kama...
KAMPALA- Polisi bado wanaendelea kutafuta watu ambao wanaaminika kufunikwa na kifusi kwenye jengo lililo anguka maeneo ya Makindye jijini Kampala Ijumaa ya Septemba 11 ,2020 majira ya saa mbili...
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Uganda (UCAA), inatarajia kufungua uwanja wa kimataifa wa Entebbe na kuruhusu safari za ndani na nje, Kuanzia Oktoba 1, mwaka huu, baada ya miezi mitano ya kuzuia...
Takriban miezi 5 baada ya kuzuia safari za ndege za abiria ili kudhibiti maambukizi ya CoronaVirus, Uganda itafungua Uwanja wa Kimataifa wa Entebbe na kuruhusu safari za ndani na nje
Hatua hiyo...
Mamlaka ya Mawasiliano (UCC) imeagiza wanaotoa au wenye nia ya kutoa maudhui kupitia televisheni, redio za mtandaoni, blogu na majukwaa mengine mtandaoni kuwa kibali na Serikali
-
Wahusika...
A total of 35 candidates went through unopposed in the National Resistance Movement (NRM) primary elections in which the party chose flag bearers for Woman Member of Parliament representing...
Hawa ni majemedari ambao wamehakikisha katika uwanja wa vita mpaka sasa hakuna kifo kwa mateka wao yoyote. Hakika kuishi kwingi kuona mengi. Acha watawale wanajua thamani ya roho za watu wao...