Wizara ya Afya imetangaza visa vipya 18 vilivyothibitishwa baada ya sampuli 1,086 kufanyiwa vipimo jana, maambukizi nchini humo yamefikia 507.
Kwenye sampuli 1,086 zilizopimwa, 774 ni kutoka...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuwa Shule, makanisa, misikiti, vilabu, vilabu vya usiku, maeneo ya kufanyia mazoezi na saluni za urembo zitaendelea kufungwa ili kuepuka maambukizi ya...
Wizara ya Afya imesema watumishi 7 wa sekta ya afya nchini humo wamethibitishwa kupata maambukizi ya COVID19
Waliopata Virusi hivyo ni manesi 3, madaktari 2, na wafanyakazi 2 wa ngazi ya juu. Kwa...
Madereva 5 wa magari ya mizigo wamekataliwa kuingia Uganda baada ya kukutwa na maambukizi ya #CoronaVirus. Sampuli za watu 655 zilipimwa mpakani na madereva hao wakakutwa, na kukabidhiwa kwa...
Wizara ya Afya nchini humo imetangaza ongezeko la Wagonjwa wengine 28 na kufanya jumla ya visa vya #CoronaVirus Nchini humo kufikia 281
Wagonjwa 21 ni madereva wa malori walioingia Uganda kupitia...
Uganda imetangaza Wagonjwa 31 wapya wa #COVID19 waliopatikana baada ya sampuli 1,116 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 253
Wagonjwa 23 ni kutoka mipakani...
The number of COVID-19 cases in the country has risen to 274 after 10 people tested positive for the disease on Wednesday.
Out of the 10 cases, nine are truck drivers while one case is a contact...
Leo katika kupitia pitia katika mitandao ya kijamii nimekuta kuna video inasambaa katika facebook ikionyesha mwanamke mmoja ambaye inasemekana ni muhadhiri katika chuo kimoja nchini Uganda...
Wizara ya Afya Uganda imetangaza ongezeko la Wagonjwa 21 wote wakiwa raia wa Uganda na wamepatikana baada ya sampuli 1,071 kupimwa katika mipaka ya nchi hiyo
Wagonjwa hao wamepatikana katika...
Visa ya #COVID19 nchini Uganda vimefikia 160 baada ya visa vipya 21 kutangazwa jana kufuatia sampuli 1,896 kupimwa hapo jana
Kati ya sampuli hizo, 1,593 ni madereva wa malori na 303 ni sampuli...
Arua, Uganda | THE INDEPENDENT | Five Tanzanian truck drivers who tested positive for COVID-19 have been discharged from Arua Regional Referral Hospital. They include four drivers who were...
Serikali ya Uganda imeanza kutumia mashine za GeneXpert mipakani, ili kuwapima madereva wa magari ya mizigo kabla ya kuingia nchini humo
Taarifa kutoka Wizara ya Afya imesema kumekuwa na...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuwa itakua ni 'uwendawazimu' kuendesha uchaguzi wakati wa mlipuko wa virusi vya corona.
Ameliambia shirika la habari la Uganda NBS kwamba mipango ya...
Wakati Kenya ikilalamika kwamba Tanzania ndio chimbuko la virusi, waganda wanaiona Kenya ndio nchi yenye kuingiza virusi kwa wingi nchini mwao.
Tanzania haijachukua hatua Kali kama kuwauwa raia...
Wizara ya Afya imesema dereva mmoja amekutwa na maambukizi baada ya sampuli 2,168 za madereva kufanyiwa vipimo.
Dereva huyo ni raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 27 na aliingia Uganda kupitia...
Katika hali ya kushangaza, kutia aibu na kusikitisha, Raisi Museveni ameitisha maombi ya nyumbani, ambapo yeye akiwa na mkewe wameonekana wakiongozwa maombi na muombaji ambaye aliomba kuwa...
BREAKING: ministry of healthy of uganda has reported again today
13 truck drivers test positive for coronavirus in Uganda
[emoji3532]Results of samples tested on 8 May, 2020 confirmed 13 new...
Kama ambavyo tumekuwa tunashauri, maisha hayawezi kusimama kabisa. Ni kweli lipo janga lakini tujikinge wakati mambo mengine yanaendelea.
Tulisema kuwa baadhi ya nchi nyingi zili over react, of...
Wizara ya Afya ya Uganda imesema kuwa idadi ya wagonjwa wa corona nchini humo imefikia 101 kutoka wagonjwa 100.
Idadi hiyo imepanda baada ya Mtanzania mmoja ambaye ni Dereva wa Lori kutoka nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.