Wataalamu na Wajasiriamali naomba ushauri na msaada.
Nafikiria kuanza kilimo cha njugu mawe je kina soko?
Ardhi ya namna gani inafaa na hali ya hewa ya namna gani. Msaada tafadhali.
============...
Naomba kujua changamoto za irrigation system source ya maji ni kisima kirefu 100 mtrs.
Ukimwagilia maji shambani kwa mpira wa kawaida baada ya km mwezi pakikauka panapauka inaiona chumvi...
Katika kikao cha wadau wa zao la kahawa mkoani Ruvuma ambao umefanyika Leo mjini Songea, Mkuu wa Wilaya ya Ludewa amependekeza itungwe sheria Kali kwa wasiotaka kulima zao hilo kwa hiari...
Habari I wakuu, ina mchugwa wangu nyumbani huu ni mwaka wa saba hatujawahi kuzaa tatizo nini?
kuna rafiki yangu amenishauri nitafute utaalamu wa kupandishia ili uzae.
Je, hii kitu ni kweli ipo?
Habari!
Natafuta shamba la kukodi katika mkoa wa pwani sizizo pungua ekari 10.
Sifa za shamba:
1. Liwe karibu na chanzo cha maji ya uhakika, Kwa kipindi chote cha mwaka.
2. Shamba lisijae maji...
Habari za usiku?
Nguruwe wangu mmoja alipoteza hamu ya kula. Baada ya siku moja tulimtoa zizini tukamweka nje ambako hakuna sakafu.
Aliendelea kukataa chakula chochote. Hakutaka kunywa maji...
Moja ya matunda yaliyoonekana ni ya kiswahili na tumekuwa nayo na kuishi nayo katika jamii yetu ni matunda haya mawili kutoka katika miti tajwa hapo juu.
Japo inatokea katika familia moja ya...
Habari za usiku ndugu zangu . Niende kwenye mada moja kwa moja , kunatatizo linamsumbua mno hasa maeneo ya pwani sijui kama maeneo mengine lipo kiasi hichi .tatizo la kunyauka kwa Miche wakat wa...
Habari wana JF,binafsi nimeanzisha uzi huu nikiwa kama mwanafunzi katika sekta ya mifugo ambaye muda si mrefu ntahitimu masomo yangu na kuingia katika mfumo wa kutafuta maisha.
LENGO: Ni kutaka...
Habari wanajamvi.
Kama wana GT tunaweza kupata fursa adhimu za ufugaji vyura maji kutokana na soko lake kuwa ni kubwa.
kwa watu ambao washawah kwenda China nikizungumza chura pamoja na soko lake...
Habarini za leo Wanajamvi?
Poleni kwa majukumu, labda niende kwenye lengo langu.
Zimepita awamu nyingi kilimo kilikuwa kinachukuliwa kwa mtazamo mkubwa mmoja yaani wasio au kwa ajili ya walala...
Kwa kweli bei ya sukari hapa TZ sio fair kweli mtu tununue kg kwa zaidi ya dola moja ya kimarekani na ukizingatia nchi yetu ilivyo na utajiri wa ardhi kubwa na mvua maeneo yote
Anyway dodoso...
Habari wakulima wenzangu,
Nimelima tikiti ekari mbili na linaendelea vizuri kwani halina ugonjwa wowote mpaka leo siku ya 34 tokea mbegu kupasuka.
Changomoto nayoipata kwa sasa ni mmea kuzalisha...
Habari wadau.
Naomba kujuzwa kuhusu kilimo cha mtama kwa mwenye uzoefu jinsi ya ukulima au upandaji,uzalishaji kwa ekari,uhakika wa soko na changamoto zake.
Nimejaribu kupekua hapa na pale sioni...
UTANGULIZI
Mahindi ni zao muhimu la chakula, na ni aina ya nafaka inayotumiwa zaidi kama chakula,uhususani katika matifa ya Afrika, na yamekuwa yakitumika zaidi na nchi zilizopo kusini mwa jangwa...
Wakuu habarini,binafsi nimewaza sana kuhusu hii project ya miti.ningependa kuifanya katika wilaya ya kiteto mkoa wa manyara.je ni aina gani ya miti ambayo itastawi vizur kutokana na hali ya hdwa...
Mimi sina fursa ya pesa ila fursa ya kuelekezana jinsi ya kupata pesa kwa njia ya uvuvi ukiwa wewe kijana una nguvu njoo Mafia kama unaweza kuvua huku utavua au utavusha maisha yataenda.
Ukiwa...