Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Hawa bata ni wa ukoo mmoja na ndo Mara ya kwanza wao kutaga ila tatizo wanataga wote sehemu moja. Nimejaribu kumtenga mmoja kwa kumfunika, na kila nikimfunika sehemu tofauti hatagi hiyo sehemu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Asalaam wanaJf, muda mrefu nimekuwa na wazo la kuanzisha mradi unaohusiana na nafaka. Kwa sasa wazo lililotawala kichwa changu ni kununua mashine inayotumia umeme ya kukoboa na kusaga nafaka...
1 Reactions
46 Replies
21K Views
Naomba msaada kama ifuatavyo 1. Beetroot kwa kiswahili inajulikanaje? 2. Kwa Dar nitaweza kuipata wapi Shuktani.
0 Reactions
23 Replies
6K Views
UFUGAJI WA KONOKONO TANZANIA Nchini Tanzania ufugaji wa konokono ni biashara iliyosahaulika kwa kiasi kikubwa sana,watanzania wengi bado wanaamini zao hili haliwezekani kufugwa na upatikanaji...
3 Reactions
11 Replies
9K Views
Habari wadau Yeyote mwenye utalaamu na solar pumps nzuri nitafute online please. Kampuni au nchi gani wanauza submersible pumps nzuri ambazo zinatumia solar power. Shukrani
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wazima ? Ningependa kufahamu bei ya ndama wa maziwa kwa ajili ya ufugaji mkoani wa Dar, na upatikanaji wake upo vipi? Natanguliza shukrani.
1 Reactions
30 Replies
14K Views
Wadau nalima tikiti maji kanda ya ziwa, ziwani kabisa. Nategemea kiwe cha umwagiliaji heka tatu. Changamoto iliyopo namwagiliaje? Water pump ya kawaida naona itakuwa kazi sana. Nimewaza ile ya...
4 Reactions
40 Replies
21K Views
Habari wana Jf, Ninaomba kujua ni mbolea ipi hasa inayofaa kwa mikoa yote na kwa mazao ya aina yoyote ile. Pia ni misimu gani ya kilimo ambayo inafaa kwa anayetaka kuuza mbolea? Ahsanteni
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Na: Norbert Mporoto – Tanzania. Uchumi wa taifa la Tanzania umekuwa ukipigiwa chapuo na kupewa tafsiri nyingi ambazo hazivuki mipaka ya kukitambua kilimo kama sekta adhimu ambayo ndiyo uti wa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Moja ya mambo yanachanganya na kuvuruga watu hasa wakulima nchini Tanzania ni taarifa yaani mnyororo wote umeathiriwa hapa na upungufu wa vyanzo vya taarifa rasmi au taarifa zisizo rasmi ambazo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Muhogo uliokuwa ukiozea mshambani na kukosa soko la uhakika wilayani Mkuranga na maeneo mengine mkoani Pwani ,sasa unakwenda kupata soko la uhakika katika kiwanda cha kuchakata mhogo kilichopo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Je, utaratibu ukoje? Je, wafugaji wa wanyama wengine vipi? Kusajili ni vizuri ila uwekwe utaratibu kwa mifugo yote wafugaji wasajiliwe kuwe na database na sio wafuga kuku wa nyama na mayai. Kuna...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Jamani dunia inamajaribu kila ukijaribu kujikwamua kinaibuka kikwazo ufeli, Kunguru wanafukua mahindi yanayoanza kuota, wamekula shamba zima. Mwaka Jana panya walikagua kula mstari na kula...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu salamu za asubuhi Naomba mnitoe tongotongo, huu ni ugonjwa gani kwa kuku na dawa yake ni nini? Kuku anakuwa kama amepaniki, anaangalia juu na mara chini, anazungukazunguka, anarudi...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakuu nina shamba langu liko chanika sasa nimeplan kulima Kilimo cha Mapapai. Naomba msaada wa kupata mtaalamu wa Wa kufanya drip irrigation. Kuanzia mambo ya setup mpaka mambo ya ushauri na kila...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wanajamvi nimeona tangazo kutoka BODI YA MKONGE TANZANIA wakitoa taarifa ya kuwa wanakodisha mashamba ya MKONGE Kwa wanachi wanaohitaji. TANGAZO LA KUKARIBISHA MAOMBI YA MASHAMBA YA KULIMA...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Imekua kero sasa, maana hawa wadudu wanasumbua sana. Je, nitumie dawa gani, kuondoa uwepo wao au kuwaangamiza.
3 Reactions
36 Replies
9K Views
Wale wakulima wa mbegu za vitunguu (baruti) wauzaji pamoja na wanunuzi tukutane hapa. Nadhani hii itakuwa ni sehemu sahihi kabisa ambayo itamrahisishia mkulima kujifunza na kutoa uzoefu wake...
3 Reactions
24 Replies
9K Views
Ninaomba mwenye ujuzi wa kutengeneza incubator Au kitotolesheo mayai cha asili anijuze Tafadhali,aje inbox tuyajenge
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kila kona Mbwa… mbwa… Mbwa dili sana! Bila laki 4 au 5 hupati mbwa mzuri aliyenona na mwenye sura nzuri. Mpaka laki 7 unanunua mbwa tena kijibwa tu aisee! Wa kijerumani na France ndo ghali mno...
2 Reactions
38 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…