Habari ndugu zangu,
Naomba kwa anayejua mkoa naoweza kupata karanga nzuri zile kubwa kubwa kidogo, sio hizi ndogo ndogo (wakulima / wauzaji wanajua)
Pia, naomba kwa mtu anayeweza kujua...
Je wajua?
Inatajwa kuwa Mende walikuwepo duniani miaka milioni 120 iliyopita, kabla ya wanyama wakubwa kama vile Dinosaurs na bado hajawahi kupotea. Mende ni mdudu anayetajwa kuwa anauwezo wa...
Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane - JamiiForums
Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi...
Habari Wakulima na wasomaji wa makala za Kilimo.
Leo naomba tuelimishane kuhusu Ukungu.
Je Ukungu ni nini?
Ukungu sio ugonjwa kama inavyofahamika kwa walio wengi.
Wakulima wengi wanajua kuwa...
Habari Wakuu
Nilipitia maonesho ya nane nane mwaka huu na moja ya kilimo kilichonivutia ni kilimo cha Dengu na Conflower/Brocolli.
Mazao haya yana soko kubwa sana nje ya nchi hasa India kwa Dengu...
Habari wana JF!
Naomba tujuzane kuhusu bei za nafaka zinazotumika kufugia kuku na wanyama wengine kama; Unga wa sangara, unga wa dagaa, mashudu ya alizeti, wheat pollard, mashudu ya nazi, soya...
Habari wanajamvi, mimi ni muajiriwa katika shirika moja lisilo la kiserikali na kazi ninayojishughulisha nayo nje ya ajira yangu ni kilimo. Pia nina malengo ya kufuga kuku wa aina zote yaani...
Ninataka kupanda mahindi ya pannar pamoja na mbolea ya dAp ila mvua inasumbua Sana kunyesha je nikipanda na mvua ikakataa kwa muda je mahindi niliyopanda na mbolea yanaweza kuota Kweli??
Habari wana jamvi ninahitaji vifaranga vya kuku mwezi mmoja chotara au black leghon ambavyo vimeisha pata chanjo na vimeifadhiwa vizuri.
Ninaomba kama unaweza kuvipata au unajua kitalu kizuri...
Nina option ya kukopa tractor mojawapo kati ya haya mawili. Yote ni used, yapo Denmark. Wajuzi wa matrekta na wazoefu wa kilimo, naombeni ushauri, kati ya trekta hizo mbili, nichukue ipi ili...
Morning rafk zangu.habari ya jumapili. Leo naomba niingie kwenye kilimo cha mchicha na faida zake.
Mchicha ni mojawapo ya mboga za asili ambayo hulimwa katika mikoa yote hapa nchini. Mboga hii...
Wanajamvi, kwa yeyote ambaye ana taarifa ya minada ya korosho kwa leo tarehe 9/10/2020 utujuze maana wiki jana zilitoka taarifa kwamba vyama vikuu vya ushirika RUNALI, TANECU na MAMCU vitaanza...
Natumaini muwazima wa afya humu ndani, naomba anae jua biashara hii ya magari haya, anieleweshe inaendaje? Nataka nikope benk, ninunue kama vi 3, je zina faida?
Encyclopaedia ni kitabu kinachotoa taarifa kwa alphabeti. Wataalamu wetu mkiwa na wazo la kutengeneza kitabu cha muongozo wa kilimo bora cha mazao mbali mbali utakua ni msaada mkubwa kwa jamii...
Nipo kijijini kwetu one time.. hapa home kwa wazazi wanafuga bata miaka mingi saana. Sasa ile siku nafika toka town waliniambia nichinje bata kwa ajili yangu mgeni. Then nikichinja niwaite...
Wataaalam na wanazengoo kilimo kipi kinalipa mtajii milon 7.5 isiwe tuu perishable fruit na maanisha vyakula vya kuoza hapana sitaweza kulima nataka mazao yenye life span kubwa nakaribisha ushauri.
Habari, ningependa kufahamu kama kuna mfugaji wa bata wa aina mbalimbali ndani ya manispaa ya Morogoro.
Kama yupo, tuwasiliane niende nikamtembelee anapofugia na nitanunua bata kwake. Nimeanza...
Wanajamvi,
Naombeni msaada kama kuna mkazi wa Mbeya Uyole au Mbulu, nahitaji kukodi shamba heka kuanzia 2 ili nikalime huko maisha magumu huku mjini.
Kama yupo tafadhali naomba umsaada wa...