Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Wanajamvi habarini. Nimeanzisha bustani ya mbogamboga ila changamoto nnayoipata ni katika umwagiliaji kwani maji ya kumwagilia nayachota kisimani (bustani inahitaji kama ndoo 100 kwa siku)...
0 Reactions
35 Replies
24K Views
Haya wakulima wenzangu wale, wafanya biashara pia na makampuni mbalimbali katika kuelekea kilele cha siku ya wakulima almaarufu nanenane naomba tutumie uzi huu kupeana updates. Ni kwa namna gani...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu. Nimewahi kuuliza swali kuhusu mashamba ya kulima Ruvu,nikabahatika kupata maelezo,nikaenda na nimeanza. Lakini,uzi ulioniongoza nimeutafuta sijauona,ila nimetumia muongozo...
5 Reactions
25 Replies
9K Views
Habari zenu Wakuu mimi ni kijana mwenye ndoto na imani kubwa sana kwenye kilimo nilikuwa naomba muongozo kwa yeyote anayeijua Rufiji anifahamishe maeneo mazuri na Ardhi nzuri yenye rutuba Ni...
1 Reactions
35 Replies
10K Views
Habari wakuu.naomba ushauri,ninazo heka mbili pembeni ya mto Ruvu.nilime zao gani la kumwagilia.Ambalo halichukuu muda mwingi kuvuna, pia kama kuna mtu atapenda tuunge pamoja nguvu...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu, Naona nyuzi mbalimbali za watu wakielezea jinsi walivyoangukia pua baada ya kuingia kwenye kilimo na ufugaji. Hii inawafanya wengi kukata tamaa na kilimo na ufugaji. Binafsi nilianza kwa...
10 Reactions
26 Replies
8K Views
Moja kwa moja kwenye mada Kama kichwa kinavojieleza mtu mwenye mtaji na anapenda kulima zao la mahindi namkaribisha tufanye kazi Aina ya mahindi tutayolima ni mahindi ya kuchoma maarufu kama...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Salamu wakuu. Ni mara kadhaa nimelima pasipo kupima PH soil, sasa nataka kujua nyie wenzangu Kama huwa mnatest soil kwa kipimo hicho ili nijue na Mimi ni wapi nitaipata huduma hiyo. Lakini pia...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji msaada kuhusu namna ya ufugaji wa vyura
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hi great thinkers, Mwaka jana mnamo January nilianza ufugaji wa bata wa kienyeji ili niongeze kipato cha familia.Nikanunua bata jike 5 na dume 3 nikaanza kuwatunza wakazaliana wengi.Nilipotaka...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu hii mbegu ya nyanya Ansal F1 imekaaje na agrovet ipi ntaipata hapa dar na na Moro.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
1: Wataweza kukopesheka bank sababu biashara yao itakuwa ya uhakika. 2: Wataweza kuongeza kipato zaidi ya Sasa. 3: Wataepuka hasara zitokanazo na dagaa kuoza, kuliwa na ndege na wadudu wengine. 4...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Habarini wana jamvi, Kuanzia wiki iliyopita hatulali, yaani ikifika saa 10 asubuhi lazima tuamke tutake tusitake, jirani kaleta kanga wanne, yaani wanapiga kelele 24/7, kelele zilivyoanza nilijua...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu salam, kuna mtu kanisimulia kuhusu kampuni inayofanya kilimo kwenye mtandao.kwamba unatuma hela wao wanalima na kushughulikia mazao,yakiwa tayari wanauza unapewa hela yako,je ni kweli? Au...
2 Reactions
61 Replies
9K Views
Habarini ndugu wafugaji na wakulima, Nina kuku wa mayai ambao wana mda wa miezi mitatu toka wameanza kutaga mwanzo walikuwa wanaenda vizuri kila wiki utagaji ulikuwa unapanda nilifikia tray 6 kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajukwaa naomba kujuzwa kuhusu kilimo cha karoti, 1.mbegu ipi nzuri? 2.Je huwa zinaandaliwa kitaluni kama vitunguu, 3.msimu mzuri kuanza kulima zao hili. Ni hayo tu ahsanteni sana.
0 Reactions
40 Replies
32K Views
Habari wakuu, Mimi ni mkulima wa vitunguu ninayeishi tunduma mjini ninavitunguu majj vya kutosha kwahiyo kama kuna dalali au mfanyabiashara wa vitunguu aje tufanye biashara. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kufunga drip irrigation system kwenye shamba langu. Ijapokuwa shamba lenyewe ni kubwa, nafikiria kuanza na eneo nililolichagua, lenye ukubwa wa mita...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu msaada mimea yangu ina siku 45 mpaka sasa inajikunja majani na kukauka kabisa. Nifanye nini?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Habarin wakuu, Nina Uza mashine za incubator kwa atakae kuwa muhitaji. Mashine zinatoka china pia ukitaka toleo la mwingereza pia utapata. Kwa size yoyote unayoitaka.pia kwa anaetaka vifaranga...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…