Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Pia nitashukuru nikipata bei zake kwa kilo moja inasimama bei gani nahitaji kilo 300 kuja juu... ahsante
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habarini ndugu zangu natumai mko vyema na majukumu yenu ya kila Siku ya maisha. Ningependa kutumia nafasi hii kupewa elimu juu ya kilimo cha mahindi. Swala langu limejikita sana katika kufahamu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tafadhali nipeni msaada wazoefu, msimu gani unafaa kwa kilimo cha mazao tajwa hapo juu,pamoja na gharama zitakazotumika kuhudumia,lengo langu ni 50M mtaji nilionao cash ni 10M ,lengo langu kuwa...
1 Reactions
43 Replies
12K Views
Fiwi ni zao ambalo linawatoa sana wakulima wa mikoa ya Kilimanjaro (Mwanga, Same) na Tanga (Mombo). Soko lake hasa ni KENYA. Sasa kwa wazoefu na wajuzi naomba kujua ikiwa kuna mbegu maalumu ama...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Mkazi wa Njombe, Steven Mlimbila maarufu kwa jina la ‘Nemes’ alipofukuzwa kazi hakudhani kama angeweza kusimama tena. Mlimbila aliamini ndoto zake kiuchumi zimekufa kwa sababu ya kuondolewa...
8 Reactions
18 Replies
6K Views
Wadau kwa wanaofahamu kilimo hiki, naomba ushauri wa kitalaamu, nahitaji kulima kilimo cha viungo (spices)? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ni ukweli wa wazi kuwa wakulima wengi wanamiliki pikpiki hasa za kichina na India. Lakin zinatumika kwa usafiri tu. Nina wazo la kuongeza kifaa kidogo ili hiyo hiyo pikipiki iweze kumpeleka mtu...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Ninataka kufuga nyuki wadogo, maeneo ya Kibaha!! Ninaomba mwenye uzoefu anijuze wapi nitawapata nyuki na gharama zake zipoje!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeanza na ufugaji wa kuku aina ya kloiler, ninao 40, wa size tofauti tofauti. Sasa hii business nataka iwe ajira yangu, Swali linakuja: Je, nifanyaje, hii biashara iweze kunipa mafanikio ya...
1 Reactions
28 Replies
9K Views
Ningependa kufahamu ni maeneo gani kwa Tanzania naweza kufanya kilimo cha watercress.
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Habari wanajamvi, Kwa kipindi hiki ambacho dunia yote imetoa macho katika janga hili lililosibu dunia, bas karibu kufahamu kuhusu kulimo ili uweze kuchagua na kuwekeza katika kilicho sahihi...
2 Reactions
10 Replies
6K Views
Wafugaji habari! Nimeanza ufugaji wa kuku aina ya kroiler, ila sasa changamoto ipo kwenye gharama za CHAKULA.. aisee wanakula balaa, na wana miezi 4 . Naomba mnisaidie, njia nzuri au nini...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau wa jukwaa la Kilimo,.Ufugaji na Uvuvi. Leo napenda nitoe wazo ama kama limeshawahi kutolewa basi ningependa kueleshwa kuhusu kilimo cha olive. Nafikiri ni muda sasa umefika kwa...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za leo Wana wa jukwaa la KUU. Wakuu nimewahi kukaa katika customs mojawapo ya nchi hii inayotuunganisha na nchi jirani kwa upande wa kusini. Sio muda mrefu uliopita. Kusema ukweli wazee...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Samahani wakuu, Nilikuwa nauliza namna gani naweza kuwazuia Nyani wale wadogo (Ngedere), wanamaliza mahindi yangu kabla hayajaanza kukomaa, yaani wanavunja vile vinavyoanza kuweka mahindi...
2 Reactions
55 Replies
11K Views
Habarini wakuu, Kwa wale wanaopenda wanyama kama paka, naomba msaada kuna paka hapa nyumbani kala kitu kimemzuru, basi kila wakati hujiramba mwili wake non stop, na pia na manyoa yake hutotoka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimepata wazo la kufuga na kuexport konokono kwenda ulaya ambako nasikia wafaransa wanawapenda Naomba mawazo na wadau tushirikiane ktk hili Niko Lindi na wanastawi vizuri hadi wanaharibu mazao...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MASWALI MBALIMBALI YALIYOULIZWA KUHUSU KILIMO HIKI Ndugu wana JF, Naomba kama kuna mtaalamu wa kilimo anisaidie ili nifahamu makadirio ya kiasi cha mavuno ya mpunga katika ekari moja katika...
5 Reactions
447 Replies
223K Views
Wakuu, Mada yahusika, katika tembea tembea yangu hasa mkoa wa Kagera nimeona faida za kiuchumi za hawa wadudu. Wabaya wana wadhamini hawa wadudu kwa lishe na kimila, hivyo kwa kuwa hupatikana...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…