Nimemsikia mbunge mmoja anasema hapa Tanzania gunia moja la bangi ni Tsh. 4,000,000/= na huko Zimbabwe ni USD 7,000/=. Eka moja ya bangi unapata gunia 6.
Sasa kwa nini nife masikini wakati fedha...
Mimi nakupa uzoefu wangu wa field,
Robo tatu ya ekari ni eneo kubwa sana kwa kilimo cha papai, kama atakuwa serious na akapoteza muda wake mwingi na nguvu zake huwenda asitamani tena ajira ya...
Habari za majukumu, kama nilivyo tangulia kichwa hapo juu naombeni mwenye ujuzi wa kilimo cha mahindi anisaidie niokoe shamba langu la mahindi nimechelewa kupalilia mahindi yamebadilika rangi na...
Habari za mchana Mimi ni mkulima Wa mahindi . katika kuhangaika nimeelezwa kuwa kunasumu ya kupalilia mahindi tena yenyewe hayaathiriki . sasa najua humu kunawazoefu wa kilimo nahitaji kujua kuwa...
Mimi ni mfanyakazi katika mahali (mwajiriwa) hapa Dar ila kama unavyojua kwa maisha ya hapa mjini ajira pekee utachelewa sana kupata maendeleo hivyo nawaza kidogo nnachopata kwenye ajira huku...
Habari Watanzania wote poleni na majukum Ila hongereni pia kwa kuendelea kuchukua tahadhar za kiafya ili kuweza kujikinga na korona. Pia tusisahau kusal kila mmoja kwa Imani yake
Kwanini nasema...
Habari aa Asubuhi wadau.
Naamini kuna wenyeji wa Lushoto humu ndani.
Kwa kifupi nategemea kwenda kununua shamba kwa ajili ya kilimo na ufugaji huko Lushoto, ila kabla sijaenda ningependa...
Wadau naomba kujua mwenye uzoefu kuku wangu wa mayai wana mwezi wa Saba na nusu ila bado kwa siku naokota mayai 15 mpaka 20 wako 100.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini!
Mbuzi wangu wamekuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa kuzunguka. Yaani huu ugonjwa mbuzi akiugua anashindwa hata kutembea (anabaki kuzunguka tu hapo hapo) na unaonekana huwa unaathiri upande...
Nakaribisha washirika/ partners tufanye biashara ya kuuza pembejeo za kilimo mkoani Mbeya hususani wilayani Rungwe, nina uzoefu wa kutosha wa biashara hii na nina maduka 2 tayari.
Karibu PM...
Habari wadau/wataalamu,
Katika kutatua changamoto za gharama ya kilimo nimekutana na hii teknology ya kutumia Sprinkler guns kumwagilia eneo kubwa na kupunguza gharama ya kulipa vijana wa...
"Kijana shtuka lalamika huku unapambana ndio msemo wetu".
Fursa za kufanya mtaji chini ya Tsh.10,000 ndani ya wiki unafanya maisha.
Karibu
1. Biashara ya mboga za kijani mfano halisi ni...
Iko hivi,
Nataka nijiingize katika kilimo cha mboga mboga especially nyanya, pilipili hoho, vitunguu na bilinganya.
shamba iko ekari 10 tayari,na nimefanya survey tayari.
Eneo lilipo hilo shamba...
In order to receive development assistance, Tanzania has to give Western agribusiness full freedom and give enclosed protection for patented seeds. “Eighty percent of the seeds are being shared...
Kwanza pole na majukumu ya siku nzima!
Wadau katika kilimo nimeamua kujiwekeza katika kilimo cha papai nilinunua mbegu za pakiti na za kisasa miche niliiweka shambani tarehe 20/12/2019 sasa...
Habari ya muda huu wadau,
Nafikiria kuanza kilimo cha mahindi ili kuangalia upande mwingine wa fursa za kutika kimaisha. Nimepanga kutafuta mashamba maeneo ya Bagamoyo au Msata kwa ajili ya...
Wanajamvi wasalaam,
Mimi ni kijana, mkulima mdogo wa matunda na mbogamboga, ninapambana na hali yangu yenye changamoto lukuki. Moja ya changamoto kubwa inayonielemea ni kuhusiana na soko la hizi...
Baada ya kuona fursa hii kupitia jukwaa hili nimeamua kuifanyia kazi.
Mwaka huu mwezi wa 8 nikasafiri kuja Iringa mji wa Mafinga nikafanya research na kugundua kweli kilimo hiki kinafanyika na...