Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

habari za mida marafiki natumini ni wazima bc tumshuru mungu na hatujalie afya nzuri. Masada wenu mim ni mkulima mdogo wa mboga mboga nina muda wa mwaka mmoja sas nataka kulima nyanya mungu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni kuku wa aina gani wanakuwa vyema na kuvumilia magonjwa kati ya Sasso, Kroiler na Israeli? Kama kuna aina nyingine naomba mnijulishe ili nianze rasmi ufugaji wa kuku.
2 Reactions
10 Replies
5K Views
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. 3. Kutengeneza na kuuza tofali 4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri...
3 Reactions
12 Replies
16K Views
Ninamradi Wa kufuga Kuku Wa kienyeji,tatizo kila wanapotaga hawatotosoe mayai yote,mfano unakuta ametaga mayai 10 akija kutotosoa labda vifaranga 2 au 3,nanikijaribu kuyapasua yaliyobaki nayakuta...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wana JF. Naomba kufahamu kwa anayejua matumizi ya mashudu ya alizeti zaidi ya kutengenezachakula cha wanyama. Soko la ujakika la hii bidhaa linapatikana wapi
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Hali ni mbaya sana! Licha ya uchumi wa watanzania wengi kutegemea kilimo cha kutegemea neema za Mwenyezi Mungu kupata riziki zao lakini bado hali ya masoko imekuwa mbovu sana. Katika hali ya...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wanajamii wafugaji wa kuku wa kienyeji, Nimepata dharura baada ya kuku wangu kuwaona wakichechemea,kutokana na kuku hao kufugwa suria na mahali wapo pana pitapitaza watu,mifugo. yupo kuku...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu km swali linavyojieleza mwenye ufahamu please tupe muongozo
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaamu, Toka awamu hii iingie madarakani wamezuia Vifaranga/ LAYERS toka Kenya. Sababu kubwa wakisema kuzuia magonjwa ya Ndege, lakini ukweli ni kwamba huko Kenya [emoji1139] hakuna sehemu...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Disk Drilling Cracks will help you find lost data. It saves you important time by finding your lost data, not only from your PC, but also from external drives. More than 20 million downloads made...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwanza kabisa uwekaji wa samaki kwenye bwawa huwa Ni kwa idadi maalumu kwa kawaida. Kitaalamu,mita 1 ya mraba unaweza kupandikiza samaki kuanzia 3-5,6-10,11-15,16-30,kwamfano bwawa likiwa la mita...
3 Reactions
13 Replies
9K Views
Sote tunafuga kuku ili kupata mayai au nyama kutoka kwa kuku hao,lakini mtafaruku hutokea pale kuku hao wanapoacha kula chakula na kuamua kulana wao kwa wao au kula mayai kabisa.kama ulishawahi...
10 Reactions
20 Replies
16K Views
Wakuu habarini za asubuhi Nina Kuku wangu tetea alitaga mzao Wa kwanza mayai 8 akakataa kuyatamia Ilipofika muda Wa kutaga mzao wake Wa pili alianza kutetea kwa kasi sana na akitaka kutaga...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Habari ya mchana ndugu zangu. Nimekuwa nikitembea katika mitandao kutafiti kilimo cha machungwa. Huko Kenya nimeona kuna mbegu ya Africa kusini wameitumia inafanya vizuri inaitwa CLANOR. Je...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Neno Nidhamu lina maana kubwa sana katika safari yoyote ile ya mtu ya kukimbilia katika maisha ya mafanikio makubwa anayoyataka hapa duniani. Kama unahitaji kuwa bora na mwenye mafanikio mazuri...
9 Reactions
2 Replies
10K Views
Kama swali linavyo eleza, wadau ninamagunia yangu ya tangawiz, nimesikia soko la nje lina lipa, nahitaji kusafirisha kwaajili ya masoko nje, wadau taratibu zikoje? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu Naomba mnusaidie kunielekeza dawa ya kutibu mdondo wa kuku. Naomba iwe ya kienyeji bandugu
0 Reactions
14 Replies
7K Views
He inatakiwa na wastan wa mtaji wa sh ngpi naomba ushauli wako rahim mlowe npo ifunda iringa 0656607185 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kilivyo, naomba kujua yale mayai ambayo yanafaa kutumika kutotolesha vifaranga vya kuku wa nyama yanapatikana wapi kwa mkoa wa Arusha. Vifaranga vimekuwa adimu...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za Jioni wadau. Kama wewe ni mtaalamu wa kuandaa business plan karibu PM. Nahitajia Kuandikiwa Business plan ya ASAP
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…