Nimepitia post nyingi za kilimo na ufugaji na wengi wao katika ufugaji wamejikita katika ufugaji wa ndege aina ya kuku, bata, bata mzinga, na wadudu wengne kama nyuki
Nataka kufaham kuhusiana na...
Tafadhali kwa wale wanaojua magonjwa ya mimea hasahasa mahindi,
(i)Naomba mnijuze huu ni ugonjwa gani kwenye hili hindi?
(ii) Nawezaje kujikinga ntakapopanda mahindi tena msimu ujao.
Naomba...
VYUNGU VYA KUTOA JOTO KWA VIFANGA
Ni imala na nivikubwa
Vinatumia mkaa kidogo kwa muda mrefu, vinatunza joto kuanzia masaa 12-15 kama mkaa utakuwa mzuri. Chungu kimoja kina uwezo wa kutoa joto...
Habari zenu wadau..
Napenda kilimo kwa kweli..huwa nikipita sehemu nikaiona ardhi nzuri na kando kando pana kijito cha maji..moyo wangu huwa unapepea.
Ni kwa muda nilikuwa nawaza ni kwa namna...
Wakuu kwema??
Ninalo shamba mahali ambako nilipanga nichimbe kisima kirefu kwa ajili ya Kuweka Drip Irrigations System ambako ningekitumia hicho Kisima. Sasa kuna Rafiki yangu mmoja yuko kama...
Wanajamvi wenzangu mimi nipo kanda ya ziwa maeneo ya Muharamba Nkome Geita, kwa maeneo haya msimu wa mvua umeanza, ningependa mnijulishe ni mbegu ipi ya kitaalam itakayonifaa kwa kilimo na kama...
Ndugu Wakulima wenzangu, habari za majukumu
Moja ya tatizo kubwa linalopunguza uzalishaji wa mazao kwa wakulima wetu ni matumizi ya Ardhi yenye alkali kubwa kupita kiasi. Hapa namaanisha...
Napenda kuwashirikisha vijana wenzangu kwa hili, naomba kujua mkoa gani naweza kufanya kilimo cha Mahindi na Maharage nikafanikiwa kwa 100%???
Kwani ile biashara yangu ya mkaa naona LOSI...
Msumbiji wameanza kuzalisha kinywaji cha Impala beer kwa kutumia mihogo. Hadi sasa Impala ndicho kinywaji kinacho pendwa na wananchi wengi kwani watu wenye kipato cha chini wanamudu bei yake, na...
"NMB YAWAKOMBOA VIJANA KIUCHUMI KWA KUWAPA MIKOPO NAFUU YA PIKIPIKI Ni mikopo kwa ajili ya pikipiki za miguu miwili na mitatu"
Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni tatu yaani Fair...
Naomba mwenye kujua uendeshaji wa kilimo cha chikichi kwa heka moja kuanzia kupanda mpaka kuanza kuvuna kwa mbegu ya miaka 3/4.kiwango cha mafuta unachopata kwa heka kwa mwaka wa tatu, nne na...
Wanabodi, hayo ndo yanayotokea kwenye shamba langu kama mkulima wa nje (out grower) ambaye hulima maua haya na kuuza kwa wazungu ambao wao hufanya wajuavyo na kusafirisha huko nje maana mm cna...
Wadau nimelima vitunguu maeneo ya Ruaha mbuyuni ndani sehemu za Idodoma.Kitunguu changu kimebakiza siku 30 hivi nikivune lakini kimeanza kukauka majani,sijui ni ugonjwa gani? Nitumie dawa gani na...
Kwa miaka ambayo nimekuwepo hapa JF kama mwanachama, nimeelimika vilivyo, nimeburudika kiasi cha kutosha, nimefarijika na kufaidika na mengi kwa ujumla. Moyo wangu daima unajihisi kukosa fadhira...
Poleni na majukumu!
Samahani sina experience yoyote kwenye ukulima hivyo naomba ushauri wenu.
Napanda mbogamboga kama matembele na mboga za maboga, bamia hapa nyumbani kwangu kwa ajili ya...