Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari wadau wa Kilimo ,naomba tusaidiane kuhusu kupata masoko ya UHAKIKA ya Korosho mbichi grade A mzigo upo wa Kutosha tokea Mtwara-Tandahimba Utapendeza zaidi kupata masoko Kanda ya Ziwa...
1 Reactions
9 Replies
967 Views
Habar wadau? Napenda kufuga nguruwe ila sina uzoez wowte ndo nataka niingie ktk game! Mwenye experience anisaidia, mbegu bora banda bora.
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kilimo cha mbogamboga kinafaa Dodoma maeneo ya Haneeti kwa wanaojua hayo maeneo
1 Reactions
5 Replies
453 Views
Hello farmers, Nimesikia pale Kiluvya kuna kituo cha maziwa, ningependa anayepafahamu ashee ni maeneo gani na mmiliki ni nani. Nataka kuanza kufuga kwa ajili ya maziwa kwa hiyo nataman...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali inaagiza sukari nje karibu kila mwaka wakati Tanzania inaweza kuwa inaongoza kwa uzalishaji wa muwa unaoachwa ufie shambani kwa maslahi ya wachache. Mwaka 2022 nimechoma zaidi ya tani...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari za majukumu wanajamvi, Nahitaji kujua njia bora na salama za kutumia ili kuku wa nyama waweze kuwa na uzito mkubwa kuanzia kilo mbili kwa muda wa mwezi mmoja. Natanguliza shukrani.
3 Reactions
32 Replies
1K Views
MAGONJWA YA KUKU NA TIBA ZAKE UTANGULIZI Kuku kama wanyama wengine hushambuliwa na magonjwa mbalimbali ambayo mengine yanatibika kwa dawa na mengine hayana tiba bali kuku hupewa chanjo maalumu...
7 Reactions
45 Replies
79K Views
Jamani Wana JM.na wakulima woote. Mm kijana mwenzenu nauza mbolea ya kuku, IPO NYINGI sana Yani NYINGI sana. Ɓei yake ni 1000 lakini ukija na kiroba chako napunguza bei. Napatikana mbezi Luis...
5 Reactions
13 Replies
531 Views
Na shida ya mbegu hizi ,na gharama kwa kilo bei yake
0 Reactions
5 Replies
256 Views
Wasalaam.. Heri ya pasaka kwa wakristo na waislam tuendelee na al-futar ili mradi kila mmoja afanye kinachomfaa na kumpasa.. Leo nimeamka na mood ya kuendeleza mpango wangu wa mwaka (kilimo) na...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wakulima kwa Mujibu wa Utabari wa Mamlaka ya hali ya hewa wametoa Taarifa kwamba ile mikoa inayopata msimu wa Mvua mara mbili kwa mwaka mvua zinatarajia kuanza wiki ya nne ya mwezi October...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wadau wote wa JF. Binafsi Niko kwenye maandalizi ya KILIMO Cha UYOGA. Hivyo nataka nianze kidogo kwa ajili ya familia. Nimesoma na kuangalia kwa umakini kabisa, Nataka nianze kwanza kwa...
3 Reactions
5 Replies
475 Views
Habarini Wapambanaji Naomba kuuliza wafugaji wa mbuzi wa nyama kibiashara unalipa kweli au ni watu wanafuga kimazoea? Naombeni majibu in calculation wise maana huyu ndugu yangu kanishika tufuge...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Kwa nini ni muhimu kupogolea miti ya matunda: 1. Kuboresha ukuaji na uzalishaji: Kupogolea huwezesha mti kuelekeza nishati yake kwenye sehemu zenye afya na kuimarisha ukuaji wa matawi na matunda...
2 Reactions
9 Replies
844 Views
Tunauza ng'ombe bora wa maziwa aina ya aryshire, freisian, jersey. Na crossbreed zake Bei zake ni rafiki kulingana na ubora wake Tunao ndama, nusu mitamba,mitamba, wanaokamuliwa, wenye mimba...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Nina miti ya parachichi iliyo ota katika shimo Moja na imekua na muda mrefu sana bila kutoa matunda imerefuka tu na kua nyembamba kiasi Je, nifanyajee?
0 Reactions
6 Replies
380 Views
Wenye exprience nipeni mwongozo boti ninayo tayari na mota pamoja na net nipeni profit and loss za hii biashara Eneo la uvuvi ni Mtwara
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Kuna tofauti gani ya EC na SC kwenye chupa za viwatilifu na matumizi yake yakoje katika kupulizia mmea? Naomba msaada
1 Reactions
2 Replies
168 Views
KILIMO BORA CHA MPUNGA: A: kuandaa shamba shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow) Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti weka mifereji ya Maji vizuvizur Andaa...
14 Reactions
80 Replies
10K Views
Poleni na majukumu wakuu. Niende kwenye mada,hivi dakitari wa wanyama (vet) Muislam ana ruhusiwa kutibu nguruwe? Kama hapana, je pale vyuo vya kilimo huwa naona wakifuga wanyama tofauti tofauti...
11 Reactions
174 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…