Nimenunua mayai 10 ya bata Bukin nitaka nipekeke yakatotolewe kwenye incubetor ila sijajua yatatotolewa kwa mda gan naomba kama kuna anayejua anifahamishe.
Sent from my BlackBerry 9320 using...
Inakuaje wadau naomba tujuzane miezi ya mavuno ya mazao ya mahindi,karanga,mpunga,,korosho,alizeti,maharage na mazao mengine mengi ya chakula tuje tununue mazao na kuja kuuza mjini au kuhifadhi...
siku za karibuni nilikuwa natafuta mbolea ya kuweka kwenye migomba. nikaambiwa mbolea ya kuku ni nzuri sana, nikaenda kuitafuta. nikakuta inabei kubwa sana. gunia la debe kumi wanauza 4,000...
Naomba nianze kwa kumshuru mungu kwa kunipa uzima na kunifanya nizaliwe Tanzania Tanzania tunazo fursa nyingi sana Leo ntazungumzia fursa zilizop kwenye secta ya kilimo watu wamekuwa wakilalamika...
Wadau,
Nimeamua kua Mkulima rasmi. Sina uhakika na kile nachotaka kukifanya kwani sina Uzoefu wowote, wala sijawahi hata kumiliki bustani, sembuse kumiliki japo Gunia moja la zao lolote duniani...
Salaam wana Jf.
Natambua mu wazima na mvua hizi wengine mpo mashambani mkiandaa mashamba.
Nimekuwa nikiona mijadala mingi hum ikijikita Katika Faida na mafaninikio ya kilimo. Lakini naomba tupeane...
Mimi ni Kijana mjasiliamali natamani nianzishe kilimo cha alizeti alafu mwisho ninunue mashine ya kukamua hayo mafuta lakini changamoto yangu sijui hiyo mashine inapatikana wapi, pia sijui...
Kilimo cha umwagiliaji na changamoto zake
Wote tunajua kwa sasa tunakabiliwa na upungufu mvua na kutotabirika kwa mvua! tumekua tunategemea kilimo cha mvua, na kwa hali ilivyo tukiendelea...
Habari wa JF. Mimi ni binti ambaye nataka niingie shambani kuanza kilimo. Msaada wenu nauhitaji kujua gharama nzima ya kulima kilimo cha umwagiliaji. Kuanzia ukodishaji shamba hadi vifaa vya...
Habari wadau, poleni kwa majukum.
Lengo la Uzi huu ni kupata maoni yenu.
Nina shamba la ekari 3 lipo eneo la mitonga -mbanja Lindi. Ardhi yake ni ya mchanga, mazao yanayostawi ni pamoja na...
KAMA WEWE NI MUHITAJI WA KISIMA WAHI OFA ZETU ZA PASAKA AMBAZO BADO NDANI YAKE ZINATOA MAJADILIANO YA BEI.
VISIMA HIVI NI VYA KARAVATI,TUNAVIANDAA MPAKA KATIKA HALI UNAYOONA PICHANI HAPO,WEWE...
Bila shaka yoyote ile kilimo ndiyo sekta inayoweza kuajiri watu wengi zaidi hata kukiko viwanda kama serikali ingetilia mkazo somo la kilimo mashuleni hasa katika secondary
Nimepita katika shule...
Bandugu,
Ni miti gani ya mbao inastawi ukanda wa joto pwani ya bahari ya Hindi, Kuanzia Mkuranga, Rufiji, Kilwa, Lindi mpaka Mtwara.
N.B miti isihitaji zaidi ya miaka 10 mpaka kuvunwa kwake.
Shukran!
Sababu 14 kwanini biashara yako inahitaji kuwa na nembo na vingine vya kutafutia masoko.
Leo nitatoa sababu chahche kwanini biashara yako inahitaji hivyo vyote ili ifanikiwe kibiashara...
Mashirika haya mawili yaliundwa kwa mujibu wa sheria mnamo tarehe 01/07/1982 kwa nia ya kuongeza ufanisi kwa kuwahamisha wafanyakazi wa kitengo cha utafiti wa iliyokuwa Wizara ya Kilimo na Mifugo...
Kampuni ya cccltd inawatangazia watanzania wote wenye kutaka kumiliki Makazi yao na kuachana na adha za upangaji , tumewaletea mpango rahisi sana , NUNUA KIWANJA KWETU CASH, Tutakukopesha tofali...
Tanzania ni nchi ambayo 80% ya wananchi wake wanategemea kilimo.
Katika bajeti ya wizara ya kilimo,mifugo na uvuvi,bajeti ya maendeleo mwaka 2016/2017 ilitengewa Tsh.101,527,497,000/= yaani...
Kwanza Kabisa Ningependa Kumshukuru Mungu Kwa Kutuweka Salama Hadi Leo Hii.
Hapa ninapoishi kuna Vyama Vya msingi vya ushirika ambavyo vinahusika ununuzi au ukusanyaji wa mazao mfano Korosho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.