Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Wana jf hapa najua kuna wataalamu wa kilimo. Sisi Watanzania asilimia kubwa ni wakulima, hata uwe mfanyakazi wa ajira sehem fulani baadhi yao wanalima. Kinachoniskitisha hapa kwani tunashindwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Haiwezekani mtu anaomba msaada alafu watahalamu husika mpo kimya ivi kwastaili hiyo tutafika ayo mnayoleta nimambo yakitt MTU akiuliza anamaana yakua hajuui kitu so msaada wenu ndio nguvu kwawote...
1 Reactions
2 Replies
636 Views
Habari zenu wadau, naomba mnielekeze wapi naweza kupata ushauri makini wa ufugaji kuku na mbuzi. Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Habari wanajamvi, nimepitia makala ya faida ya kilimo cha miti ndani ya jamvi iliyochangiwa mwaka 2012,Naomba mwenye mchanganuo wa kina kuhusu faida ya uwekezaji wa kilimo cha miti anipatie na pia...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu habari, baada ya mpigo wa kwanza ulionipa hasara takriban eka 2 zote za tikiti najipanga nirudi tena shambani,kwaajili ya tikiti Naomba mwenye mawazo au ushauri kwa wazoefu wa kilimo...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Wadau wa kilimo tumekuwa tukipata changamoto katika kununua au kuuza mazao kwa wakati na bei sahihi. Zifuatazo ni sababu mbali mbali: Wauzaji/wakulima 1. Kukosekana kwa taarifa sahihi za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari yako ndugu yangu.. Naomba tufahamishane kwa wale wenyeji wa Mbeya pamoja na wanao ifahamu kiasi, ni maeneo gani ndani ya Mbeya naweza Kodi shamba hasa kwa kilimo cha umwagiliaji cha...
1 Reactions
35 Replies
13K Views
Baada ya kuona fursa hii kupitia jukwaa hili nimeamua kuifanyia kazi. Mwaka huu mwezi wa 8 nikasafiri kuja Iringa mji wa Mafinga nikafanya research na kugundua kweli kilimo hiki kinafanyika...
6 Reactions
12 Replies
12K Views
Habari gani wakuu...... Kwanza poleni kwa majukumu...Mimi ni mwanachuo Dodoma lakini nina wazo la kilimo pia.. Ninawazo la kukodi shamba mpanda kwa ajili ya kilimo cha Mpunga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu? Naomba ushauri kwa walio na utaalamu wa kujua kuku (broilers) wangapi watatosha kufugwa kwenye banda lenye vipimo hapo chini. Mita 13.2 mapana Mita 3.2 marefu Asanteni.
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Habari za muda huu wakuu. katika kilimo taarifa nyingi huwa ni muhimu ili kujua kama eneo fulani linafaa kwa kilimo kipi.mojawapo ni kiasi cha mvua. mfano,mahindi hustawi kwa mvua milimita 600-...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi sio mkulima ila nimevutiwa na hii sijui ni kweli ~*Tajirika na Tikiti*~ Hii si Hamasa tena ni zaidi ya kweli..... *TAJIRIKA UKIWA KIJANA ~ LIMA TIKITI* Kwa wastani heka moja ya tikiti...
13 Reactions
147 Replies
26K Views
Nilikuwa naulizia mazao yafuatayo yana patikana kwa wingi wapi na yanapatikana wakati gani? Tafadhali taja mazao na mkoa unayojua inapatikana. Mfano. Maharage- dar es salaam[emoji4] 1...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hi guys,for first time I want to share this stuff with you,katika jf, Hii kitu nimekutana nacho kwa wakulima wengi sana in rukwa,mbeya and singida,wakulima hutumia nguvu sana in purchasing...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Where goats calve down to twins, triplets
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Wengi wanashindwa kuanza kilimo cha umwagiliaji kwa kukosa mtaji wa kuchimba kisima na kununua pampu, ukiitumia akili yako vizuri hili si tatizo kabisa. Akili ni mali, angalia jinsi ya kuanza...
4 Reactions
24 Replies
18K Views
Biashara iliyokuwa ikifanywa na Wawekezaji ya kununua vifaranga na Mayai kutoka nchi za nje imepigwa marufuku, baada ya Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha, kusema kuwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu hv ni miez gani bamia inakuwa na bei nzuri sokoni
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Naitaj kuku wa kienyeji mwenye kujua wap nawapata kwa bei nafuu aniambie
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nina shamba, vifaa, wafanyakazi na Experience. Natafta partiner wa kushirikiana naye kilimo cha Tikiti. 50/50 contribution. Shamba lipo Mwanza Malimbe nyegezi. Kwa ambaye yupo serious anitafte kwa...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Back
Top Bottom