Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Habari wakuu,poleni kwa ukata,Na hongereni kwa sikukuu ya pasaka. Wakuu mshahara wangu ni nusu kipenyo sasa nikaona nijiongeze kwa kulima bustani ya Nyanya. Kwa wale wataalam Na wazoefu naomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika hotuba ya Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi leo 19/05/2017 bungeni kuhusu bajeti ya 2017/2018,amesema, "Hadi kufikia Machi 2017 jumla ya tani 3,162.65 za nyama ziliuzwa nje ya nchi katika...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hi, mimi ni mtaalamu wa mifugo kwa wanyama mbalimbali kama mbwa, kuku, bata maji, bata bukini, Nguruwe, kondoo, mbuzi etc...kwa wakazi wa bagamoyo, bunju, boko, goba,mbezi, kimara......Gharama...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nataka kujua mkoa gani wanalima matikiti na bei ya kukodi shamba ekari moja.
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Wadau nimepata mchongo wa shamba maeneo ya Bagamoyo, kama unaingia eneo maarufu kwa jina la KIWANGWA. Je,ni mazao gani yanafaa kulimwa katika eneo hili?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa miaka24 maisha yangu napenda sana kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji, nimefanikiwa kupata ardhi inayoniwezesha kufanya kilimo na mimi nimefikiria kupanda miti ya mbao na miembe ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuku wa mayai (layers) wekundu wakubwa wanauzwa. Wanapatikana kimara Dar es salaam.Wanafaa kwa kuliwa. Mawasiliano 0716927054 Wapo 70 na bei ya jumla ni 7,000@. Karibuni.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tanzania Educational Publishers ltd ni kampuni inayotoa Elimu na Ushauri mbalimbali kwa Wakulima na Wafugaji kwa njia ya vitabu. tunavyo vitabu vingi kama Ufugaji Bora wa kuku,Kuku wa kienyeji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini. Nimebahatika kupata eneo katikati ya jiji la Dar es salaam nimevutiwa sana na kilimo cha nyanya...maji yapo ya kutosha masaa 24 tatizo linalo nikabili ni udongo wa kichanga kama ule wa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Soil erosion in Tanzania – in pictures
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Wadau heshima KWENU, Naomba mnifungue juu ya elimu ya vitunguu maji na hitaji kulima heka moja yenye ukubwa wa 70m@70m Je! Niandae mbegu kiasi gani? Na elimu nyingine tafadhari nisaidieni...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
✍️
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari za mida hii? Kama kichwa cha habar kinavojieleza. Kabla ya kuomba ushauri wacha nitoe habar kamili. Nilifanya uchunguzi mfupi na kugundua Mkoa wa Simiyu Wilaya ya Bariadi iko na wakulima...
2 Reactions
13 Replies
11K Views
Wakuu nahitaji patner au tulime matunda aina ya parachachichi au kupanda miti ya mbao pines . Eneo la kulima ni mkoani njombe Binafsi ninamtaji kiasi na Ardhi kiasi cha eka 15 maalumu kwa kilimo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
na ni wa gani inatibu msaada plse
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bila shaka mko vizuri,naomba kujua zao gani la msimu kwa sasa,na je msimu wa matikiti ni lini?nataka kuanza mara moja asanteni kwa msaada wenu shamba la kukodi nimepata huko Ruvu!!na je mboga...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wahusika walio somea koz hiyo hapo juu naomba mjitokeze ili nawengine wapate faida
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama ilivyo ktk kichwa cha habari. Naomba kujuzwa bei ya ufuta kwa Mikoa ya Lindi ,Mtwara na Pwani.
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Salam wanajamvi. Tafadhali naomba mawasiliano ya fundi anaetengeneza kaushio la mboga linalotumia mwanga wa jua. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear Sir, We are , Şah Tarim foreign trade company , we are glad to share a brief company introduction with your esteemed company requesting your feedback on our products. our company is...
1 Reactions
0 Replies
612 Views
Back
Top Bottom