Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Wana JF, habari ni za siku nyingi. Mradi wetu Mifugo na KILIMO sasa unataka kujipanua hadi kufikia kilimomazingira. Tutajikita katika kilimo mazao, misitu, Nyuki, samaki na usindikaji wa mazao...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
wadau ninatengeneza mkaa wa kisasa briquette kama sehemu ya ajira yangu tangu nimalize masomo. sasa changamoto kubwa ni kwenye masoko, hivyo naomba kwa yeyote anayeweza kunisaidia mahali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari!,Mimi nataka nianze ujasiliamali wa ufugaji wa kuku jamii ya chotara nilichotaka kufahamu katika hawa chotara aina mbili kati ya kuroiler na wale wa Malawi ipi mbegu bora katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman vifaranga wangu wanatapika damu kisha kufa je huu ni ugonjwa gani.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza kuhusu uthibitisho wa vyakula vya mifugo wanavyopewa wanyama yetu siku zote Bila Majibu. Ni Nani wanahusika Tfda au TBS.. mbona havijawahi kushikwa ambavyo ni substandard au...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Habari za kutwa ndugu zangu.. Mimi nikijana niliemaliza chuo na sina ajira, nmejichanga kwa muda sasa, nimepata million 3, sasa nataka kuingia kwenye kilimo ninaishi mkoa wa Mbeya. Nmefanya...
3 Reactions
98 Replies
18K Views
Nimeamua kujikita kwenye ujasiriamali wa kilimo, hivi sasa nimeshalima mpunga kwa mara ya kwanza. Katika kujiandaa vzuri na kilimo nina lengo la kununua powertiller, Hivyo ninaomba msaada wa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tuamke tukaanze Kilimo wakuu hali ni mbaya siyo lazima wote mkaajiriwa. Mimi Roho huwa inaniuma Mtu anavyokuja na Kuandika thread nataka Sehemu ya Kujitolea bila Malipo hebu Imagine Sehemu hiyo...
43 Reactions
460 Replies
43K Views
Habari zenu wakuu, mimi ni kijana wa kiume ninaetaka kujikwamua kwenye janga la umaskini kupitia vimitaji vidogo lakini biashara ninayo ona itanifaa ni kuchukua matikiti bush kuyaleta town. Kwa...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu ninauza mahindi gunia kwa bei tajwa hapo juu nipo Dar es Salaam kwa atakae hitaji karibuni sana ifahamike wazi ni gunia la 100kg.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wada mnajua yakua kuna vilimo vya mazao mengi sana sasa nina million I nataka nilime kati ya mwaka 2018 je mnaweza kunishauli kilimo gani ambacho ukilima huaga uakika yan kwamba akikupi hasara...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
naomba kuelekezwa ni namna gani kuanza kilimo cha nyanya. kuanzia hatua ya kwanza mpaka ya mwisho.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau wa Kilimo nipo Kongowe - Kibaha natafuta mbegu ya kiroba nzuri ya kutosha heka tano yaani vipande/vipandikizi 20,000. Mashariti mbegu iwe imekomaa isipungue umri wa miezi 9 shambani.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wakuu tokea masika tu kuisha mipapai yangu imekuwa na muonekano huu. Nilimtafuta kijana mmoja mlima bustani na kumuomba aliulizie wataalam wa mimea kama ni shambulio, jibu likawa ni ukungu. Sasa...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Naitaji wadau wenye nia ya dhati kufanya kilimo hiki kwa soko la nje na ndani tushare mambo....... Ni mzoefu na tafuta partner's wa kufanya hii project. Moshi 0763370175 watsup
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mi nipo mwanza nyegezi malimbe naomba kuelekezwa wauzaji wa miche ya mbogamboga kama nyanya chungu na n.k. sim no 0746465455
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Samahani wadau nasikia wiki 2 zilizopita Tz imeingia makubaliano na serikali ya China kuanzisha kiwanda kitakochokuwa kinaprocess muhogo,hapa nikiri kwamba sina details za kutosha but kwa upande...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Lango la kuungana na partner 2 ili tuwe 3 tuingie kwenye kilimo cha kisasa katika hiyo mikoa kati ya MOROGORO AU MBEYA ni kuunganisha nguvu ili tuandae shamba,tulime,na tusimamie wenyewe. Karibuni PM
0 Reactions
1 Replies
747 Views
Habarini wakuu! Nimekuwa nikitafuta tafuta vipesa kwa muda mrefu, ila nimebahatika kupata kama milioni 5. Napenda kuwekeza kwenye chakula hasa mahindi. Tatizo ninalopata ni kuwa nimepata vipesa...
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Kichwa kina husika kama upo tayari na upo kwenu au sehemu ya kukuruhusu kufuga kuku, natoa laki tano maelezo kwa koment ntakupa
4 Reactions
52 Replies
7K Views
Back
Top Bottom