Magonjwa ndicho chanzo kikubwa cha vifo vya Mifugo na umasikini wa Wafugaji. Maelfu ya mifugo hufa kila mwaka kutokana na magonjwa. Tanzania Educational Publishers inakuletea kitabu cha...
If you have got a chance of reading this book, obvious you are aware with this man.
In form two secondary school there is a book called MABALA THE FARMER.
The main characters in this book were...
Naomba anayejua jinsi ya kutengeneza tomato sorce na utaratibu wa kuanzisha kiwanda chake, gharama za uanzishaji. utengenezaji na uendeshaji, nyanya nitaanzisha shamba la greenhouse, aksanteni.
Habari ndugu wana JF
Mimi ni mkulima,nimelima vitunguu na nilipandikiza tarehe 27 march,hivyo mwezi wa 7 mwanzoni nategemea kukivuna kitunguu changu (maji)
Lengo la kuandika uzi huu ni kuwaomba...
Mh.Raisi JPM bado hujaifikia kero yangu,hakuna utendaji pasipo maagizo yako ya moja kwa moja kero yangu ni wafugaji kuingiza mifugo kwenye mashamba ya wakulima mkoani morogoro wilaya ya mvomero...
Habarini wana JF? Mungu amewapa uhai wake tena siku ya leo, mbarikiwe sana.
Samahani, Nilikuwa na pesa fulani hivi sasa nahitaji kuwekeza katika kilimo cha matikiti nifanyaje? Naweza pata...
Habari zenu wanajamii,naomba ushauri wenu mimi nina heka mbili ambazo zimepitiwa na maji ya jirani yangu aliyepitisha bomba la maji kati kati ya shamba langu na kufanya hekari moja kuwa chini na...
Habari zenu waungwana
Nina shida, natafuta nyoka aidha green snake au black snake.
ninapoishi saizi kuna tatizo la panya na Mende wanasumbua sana.
Hivyo nimeona njia sahihi ni kufuga nyoka ili...
Habari zenu wana JF.
Naombeni msaada kutoka kwenu...nahitaji kufahamu kama arusha kuna market nzuri ya mapapai na pia mikoa mingine tanzania....nipo kwenye research stage kwa sasa
Asanteni na...
Hello Gentlemen and ladies, Naomba msaada please., Nina kuku ina ya chotara wa Malawi na wa Israel wako 30 na wameshaanza kutaga ni week ya pili sasa .Na chakula cha layers nanunua mfuko elfu 50...
Wakulima wadogo nchini Tanzania hivi karibuni wataweza kupata taarifa mbalimbali za kijiditali kuhusu masuala ya pembejeo, ukiwemo ushauri utakaosaidia kutatua matatizo yanayowakabili kama vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.