Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Habari zenu wanajukwaa Ningependa kuuliza bei ya kitunguu katika sehemu mbali mbali,maana natarajia kutoa changu hivi karibuni Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasisi sasa tuikatae kwani inasababisha Kansa sasa Waziri husika akanyie kazi hili. Below are 15 articles of the fight in Africa, Europe, Japan and Russia banning Monsanto Genetically Modified...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wanajamvi nahitaji Vifaranga Wa kuku Wa mayai wakisasa, Kwa mawasiliano zaidi +255768181757
0 Reactions
3 Replies
2K Views
KWA TUNAO ZALISHA BIDHAA ZENYE MTAZAMO TOFAUTI KWA WALAJI JE TUNAFANYAJE? Ni ukweli ulio wazi kabisa kuna basdhi ya product either Watanzania hatuna utamaduni wa kula au kuna upotoshaji. 1...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
wote wa jukwaa la Ujasiriamali, nichukue fursa hii kuwatakia kila la heri katika sikukuu ya Mwaka mpya na sikuu ya Krismasi. Katika safari ya Ujasirimali kuna Changamoto nyingi sana tena mno, na...
21 Reactions
241 Replies
20K Views
Habarini wakuu! Naomba kujua soko la uwakika la mtama mweupe kwani nategemea kuvua zaidi ya gunia mia tano za mtama mweupe mwezi ujao.
3 Reactions
17 Replies
8K Views
Nilipoeleza changamoto ninayoipata kuhusu ndege ambaye wadau mmeniambia anaitwa kipanga wengine mlinishauri kuwapaka Rangi kuku, Nimelifanya hilo zoezi na huu ni mrejesho 'feedback' 1. Juzi...
42 Reactions
110 Replies
20K Views
Wajasiriamali wenzangu,Assalaam Aleykum Ningeomba kujua Sikukuu ya Nane Nane kitaifa itafanyika wapi? Narajia kwenda kwa malengo yafuatayo:- A)Kuona na kujifunza mbinu za kilimo na ufugaji kutoka...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wajasiriamali. Kifungu fish farm iliyopo Kigoma inawatangazieni kuwa inawauza vifaranga wa sato (oreochromis tanganyikae) kwa tsh. 300 kwa kifaranga. Tutawauzia vifaranga wakubwa (urefu...
3 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani naombeni msaada wa wapi pakupata mahindi kwa bei rahisi..
1 Reactions
20 Replies
7K Views
jamani wataalm wa wanyama naombeni msaada kuna stray cat ameinukia kwangu mdogo sana na kila nikimfukuza anarudi. nimeamua kumhudumia chakula kama paka wangu kabisa. kila siku maziwa samaki ni...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba msaada kwa mwenye mawasiliano chuo cha mifugo Tengeru,nampago Mdogo wangu nimpeleke huko maana anapenda na amepata c-chemistry,c-biology,c-math,na c-geog amechaguliwa EGM Mwenge sekondari
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nauza sungura wa kisasa newzealand white na dutch mmoja 30000 nipo mbezi makabe Call---+255753534514
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wakuu na wadau wa kilimo? leo katika pita zangu mtandaoni,nikampitia millardayo...nimekuta akihojiana na wakuvanga mchekeshaji kutoka kundi la orijino komedi...ambaye ameamua kuingia katika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Moja ya changamoto kubwa ya kuku wa asili ni vifo vitokanavyo na magonjwa mbalimbali. Nilichogundua ni kuwa watu wengi hawawapatii kuku dawa ipasavyo, wataalamu wa mifugo wamekuwa wakishauri...
11 Reactions
36 Replies
8K Views
Wakulima wenzangu naomba yeyote mwenye ufaham wa kiliimo cha karanga anijulishe ABC zake hasa ktk hali ya hewa zinapostawi sana, kiasi cha mvua zinazoitajika, udongo na hata magonjwa yanayozikumba...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
naomba gharama za gesti za bei ya chini kwa wanaojua songea pamoja na mashamba kwasababu hili ndilo lengo langu kuu kwenda huko
0 Reactions
21 Replies
7K Views
CHANGAMOTO ZA UTENGENEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU. Gharama za ufugaji wa kuku zikiwa asilimia 100. basi 80 huwa ni chakula na 20 ndo mambo mengine kama dawa. Watu wengi tumekuwa tukijaribu...
3 Reactions
10 Replies
8K Views
Naomba ushauri juu ya ufugaji samaki kwa sisi tuishio mbali na vyanzo vya asili vya maji, maji yaliyopo ni ya visima na bomba tu. Twaweza fanya nini?
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom