HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA
Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ.
Ukubwa: kilo 100
Bei: 4000
Tutakutumia...
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?
Msaada kwa anayeelewa.
#commred Chichimizi
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?
Msaada kwa anayeelewa.
#commred Chichimizi
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?
Msaada kwa anayeelewa.
#commred Chichimizi
Ndio.
Hiyo ndio hali halisi, hii ndio bei mpya ya mchicha kutoka viunga vya pale O'bay, adjacent na kota za polisi Oysterbay.
Fungu hilo lilikuwa likiuzwa ShT. 500/= katika kipindi cha mwezi...
HABARINI WANA JF....
mm ni mwanafunzi wa chuo na ninatamani sana kuja kua mkulima mkubwa wa mazao ya biashara kamampunga, mahindi,vitunguu,matikiti na mengineyo....
Kila kitu kina mwanzo wake...
Wakuu habari ya jumapili,jana katika pilika zangu za kilimo nikakutana na hivi vipande vya vimawe vinatoa mg'ao je ni dhahabu au kitu gani kwa anaejua msaa please
Ukimpeleka mgonjwa Hospitali ya Muhimbili, Amana au Mnazi mmoja we unapata faida gani? Au unalipwa nini? Jibu haupati kitu.
Je, unajua kama ukimpatia mtu matibabu ya afya unatakiwa ulipwe? Na...
Heloooo...Naitwa Nick...nipo Morogoro mjini...ni mwanafunzi wa shahada ya sayansi, uzalishaji na teknolojia ya wanyama (Agricultural Animal science and production)..Mungu akipenda mwezi huu naweza...
Mambo vipi wadau, nimekuja mbele yenu kuwaomba ushauri. Biashara ya kukodisha magari kwa dar es salaam ni kati ya biashara zinazolipa sana. kwa wale wadau wanaoishi iringa au waliowahi kufika...
wakuu ninahitaji mkopo wa milion moja wenye riba nafuu.....nitarejesha baada ya miezi minne na uwezo wangu au riba isizidi laki tatu kwa miezi yote minne.....nina kiwanja kipo kinyerezi, kadi ya...
UPUNGUZAJI WA GHARAMA ZA KULISHA KUKU KIPINDI HIKI KIGUMU KABISA.
Ni ukweli kwamba gharama za vyakula vya kuku viko juu sana na gharama hizi huchukua asilimia 80 ya gharama zote za matunzo ya...
nilipata fursa ya kwenda Kiteto hivi karibuni.. nimejifunza yafuatayo:
Ardhi ya kule ni karibu sawa na bure na bado ipo virgin --ekari inauzwa Tsh 10,000 kwa ekari.. cha kushangaza zaidi...
Nimefanikiwa kununua eneo lenye ukubwa wa hatua 62 kwa 27 kwa ajili ya kufanyia shuguli za ufugaji. Changamoto nilionayo eneo hilo lina shida ya maji mpaka kuchota kisimani. Naomba ushauri kwa...
Miezi kadhaa ya nyuma nilinunua kuku kwa ajili ya kumchinja, mimi napenda sana kuku jike mdada mdada hivi maana ndo huwa watamu, huwa nashangaa sana watu wanaokula majogoo tena yaliyozeeka...
Habari wana JF,nimuda umepepita sasa tangu ni nunue kuku wa mayai mpaka sasa wana miezi 7 tangu niwanunue wakiwa wadogo na waliniambia wana kaa ndani ya miezi 4 wanaanza kutaga chakushangaza mpaka...
Nilikuwa ninaomba kuuliza je, kwa hapa bongo kuna sehemu ambapo zinauzwa machine za kutengenezea pellet za chakula cha kuku au samaki... Walau machine yenye kuweza kutengeneza 50-100kg/hr!!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.