Mimi ni mkulima wa mboga naisi wilaya ya Temeke Dar es salaam ninalima mboga mboga kwa wingi hasa mchicha katika mazingira mazuri masafi na kumwagilia maji masafi ya kisima pia situmii mbolea za...
napenda kuuliza zile tractor za millin 20-35 ukitaka kuikopa ikiwa na tela lake panoja na PTO water pump itagarim sh ngapi kwd miaka mitatu? na je marejesho kwa mwez inaweza kuwa Tsh ngapi...
Habari za humu ndani vijana wenzangu wa kitanzania. Tafadhali changamkieni fursa ya ufadhili kwenye miradi ya kilimo kutoka Ireland.
Government of Ireland Africa Agri-food Development Program...
Kulikuwa na wimbi kubwa la matangazo na mauzo ya mayai ya ndege mdogo aina ya kware. Mayai yake yalisifiwa sana na kushawishi watu wengi kuyatumia. Wapo hata walioanza na kuimarika katika ufugaji...
Wakuu habari
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye malengo lukuki kuhusu kilimo na ufugaji hapa nchini,
Nimeamua kujitosa kwenye kilimo na ufugaji hapa Arusha!
Ninachokitafuta kutoka kwenu ni...
TAASISI YA PEACE ADVOCATES FOR AGREEABLE ENVIRONMENTAL SOCIETY TANZANIA
Inawatangazia wananchi fursa ya mashamba ya kilimo biashara yanayoendeshwa kwa kilimo biashara na ufugaji wa kuku wa asili...
Habari wanajamii, nnaomba kujua mbegu zifuatazo zinaweza kupatikana wapi na kwa gharama ipi.
1. Red lady F1 hybrid seed (1150 seeds) (pawpaw)
2. Yetu F1 hybrid seed (300grams) cucumber seed
3...
HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA
Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ.
Ukubwa: kilo 100
Bei: 4000
Tutakutumia...
Nina mpango wa kukopa trekta au Mashine ya kuvunia mpunga lkn pesa zangu ni ml.30 Mashine zinauzwa ml.55@ 1 shida yangu nataka kujua mkoa gani naweza weka Mashine yangu au trekta langu...
Lipo eka 10
Bei ni million 20
Miti Ina umri Wa miaka 7
Aina ya Miti ni pine
Linauzwa pamoja na Ardhi
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929,0655726929 na 0742188846
Napatikana mkoani NJOMBE...
Hellow naomben mwenye kujua biashara hi ya kuwa agent wa kuuza ticket za ndegen mwenye maujaunja ya jinsi ya kuanza, marketing techniques,na vigezo mpaka nipewe kuwa agent.
Habari zenu wakuu
Nina shamba la mpunga morogoro vijijini nategemea kuanza kuvuna wiki mbili zijazo.
Kama kuna mtu ana combine harvester ipo mikoa ya karibu na Morogoro naomba tuwasiliane...
Tanzania Educational Publishers (TEPU) ni kampuni inayotoa Elimu kwa Wakulima na Wafugaji kwa njia ya vitabu. Inakutangazia kitabu kipya cha Malisho ya Mifugo kwa Sh.10,000/= kwa mawasiliano...
PUNGUZO LA ASILIMIA 50 (50%): MAYAI BORA YA KWALE KWA SASA YANAPATIKANA KWA GHARAMA YA SH. 10,000/= TU KWA TREI YA MAYAI 30, WAHI OFFER HII SASA,
WASILIANA NA WAKALA WETU KWALE BORA KWA SIMU...
HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA
Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ.
Ukubwa: kilo 100
Bei: 4000
Tutakutumia...
Habari wana Jf, nina kijibustani changu hapa nyumbani nimepanda mboga chache, sasa nimegundua ni zaidi ya mara mbili au tatu, kila nikimwaga mbegu za mchicha sisimizi wanashambulia mara tu mchicha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.