Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
JE UNAFUGA AU KULIMA KILE JAMII INACHO TAKA? AU KILE UNACHO PENDA WEWE BINAFISI? Hili ndo kosa la kubwa mno ambali wafugaji wanafanya na hawajawahi tambua hilo. Watu wengi tunafuga kile sisi...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwaka dume huu hata mahindi ya mbegu safari hii sidhani kama nitapata.Yamekosa mvua jamani jamani mi kilimo tena basi oweeee
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wana jamvi. Kwa muda sasa nimekuwa nikiona picha au kusoma taarifa juu ya Viongozi hao tajwa, wakijihusisha ktk kilimo. Nimeona picha za Jk Akiwa shambani kwake, akikagua mahindi yanayoonekana...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Kutokana na ushauri wa wadau wa jukwaa hili hasa upande wa kilimo, kumetolewa mawazo ya kuwa na data base ndogo ya taarifa muhimu za mazao,wanyama mbali mbali ambayo itakuwa hapa hapa jukwaani...
23 Reactions
178 Replies
30K Views
Kichwa cha Thread hapo juu chahusika. MAJUKUMU: 1)Uwezo wa kusimamia shughuli za Ufugaji Nyuki kwa ujumla wake Kama vile; i)Kuhamisha Malkia na Kundi la Nyuki kutoka kwenye...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Mh Kubota upo wapi ndugu. Wewe ni mtu muhimu sana kwenye jukwaa letu hasa kwa kutufunua akili na kutupa mbinu za ufugaji wa kuku wa kienyeji. Naomba mods kama mna namna yeyote ya kumtress huyu...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Mbwa ni mnyama anayependa kula sana, kila akionacho kilichonona au chenye harufu nzuri basi hukitamani na hili hasa huwapa shida sana wafugaji wengi. Dawa ya kulidhibiti hili ni kumlisha chakula...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Ndg; hakuna asiye tambua kua Kilimo ni Uti wa mgongo wa Taifa letu..iwe kilimo cha Umwagiliaji ama kile kilimo cha Msimu..zipo changamoto kadhaa ambazo humfanya mkulima kutofikia Malengo yake...
0 Reactions
1 Replies
774 Views
Nnaomba msaada kwa mtu anaejua information kuhuxu ufugaji wa samaki
0 Reactions
7 Replies
983 Views
Wandugu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kupata ufahamu wa biashara ya bucha ,namna inavyofanyika, changamoto na faida zake
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Habar wanajamvi. Kwa anaefaham kuhusu kilimo cha Kahawa na Majan ya Chai .... Maeneo ya kilimo na soko lake anifahamishe Jamani. Tusiwe wakimya tuelimishane jamani. Asante
0 Reactions
2 Replies
3K Views
With my own water pan, I can farm all year round
1 Reactions
0 Replies
697 Views
Mbuzi wangu wameanza kutokwa na vitu kama madonda hvi mdomoni sasa nashindwa kuelewa niugonjwa gani naunaweza kutibika vipi mnisaidie jaman picha hii hapa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
34 Replies
38K Views
Naomben mnishauri wakuu kwa hivi viota vyangu vipya Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Safari ya Ujasiriamli ni ngumu sana na Ina murorongo wa mambo mengi sana, NA SAFARI HII NI NDEFU SANA NA KUNA BAADHI HUWACHUKUA HATA MIAKA 30 KUFIKIA MAFANIKIO TANGIA WAANZE SAFARI HII, WAPO...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
naomba msaada jamani vifaranga vyangu vinakunja na kishusha koti baada ya wiki mbili na kufa.Nafanyaje au niwanyanganye mama yao Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Huku nikifahamu kuwa JF ndipo mahala sahihi kwa kupata ushauri, basi nawaomba wana bodi na wenye uelewa wa maswala ya ufugaji wanisaidie kwa hili: Nimepanga kuanza ufugaji wa kuku, je: Nifuge...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanandugu naomba kuuliza, mbegu za sunflowers (alizeti) zinapatikana wapi na aina/variety gani ni bora na za kampuni gani. na bei ni kiasi gani? nimeenda Farmers Center na Farmbase pale ilala...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Haya nasema njooni huku kusini tulime acheni kulaumu tu kila kukicha mara serikali hivi mara JPM vile,njooni majembe yapo for free na mashamba yapo free vile vile. Mmenielewe lakini? Sent from...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimetembelea muduka ya kilimo ya kariakoo yanayouza honda water pump, kichwani mwangu nilikuwa najua kuna honda water pump feki ila nilishindwa kutofautisha? Post sent using JamiiForums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom