Wakuu naomba kujua bei ya ya alizeti singida kondoa au babati imefika sh ngapi gunia ya debe 6 nahitaji gunia 100. Mashudu pia gunia 200
Sent using Jamii Forums mobile app
naomba msaada kwa yeyeote mwenye uelewa, mimi nimepanda miti ya miashuki kuzunguka plot yangu lkn ukuaji wake haulizishi kabisa , sasa ni miaka minne lkn mti mkubwa una mita moja na nusu na...
Wakuu kwa mwenye ujuzi wa kutosha kuhusu kilimo hiki naomba kujuzwa. kuhusu mbegu kiasi gani kinahitajika kwa hekari , changamoto ya magonjwa na Wastani wa mavuno kwa hekari ni gunia ngapi za...
Msaada tafadhali wajemeni. Nina shamba mahala ambapo nataka kupanda miembe. Ushauri? Wapi nitapata miche ya miembe?
Nipo Dar.
======
Zao la embe hustawi vizuri katika maeneo ya tambarare na...
Habari wana JF!!
Kama kichwa cha habari kinavyosema,
Kwenye hii posti nakaribisha maswali yoyote yanayohusu kilimo cha umwagiliaji!! Kama una swali kuhusu kilimo cha umwagiliaji usisite...
JISAJILI MAPEMA:
MAFUNZO YA KILIMO BIASHARA CHA MBAAZI KUPITIA WHATSAPP
Tanzania graduate Farmers Association www.graduatefarmers.co.tz kwa kushirikiana na Kampuni ya ushauri wa kitaalam ya...
Wanabodi,
Kwanza naomba kukiri kuwa mimi sio mkulima, ila kilimo kinanihusu, kama kinavyomhusu kila Mtanzania.
Wangapi wanatambua uwepo wa Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu nchini Tanzania...
VIJANA TURUDI VIJIJINI TUNUNUE ARDHI
Na Eng AYUB MASSAU
Habari ndugu watanzania popote mlipo katika kuijenga nchi yetu ya Tanzania na kuhakikisha tunafikia nchi ya uchumi wa kati kama dira ya...
Nimefurahishwa sana kuwaona baadhi ya wanawake wa kiislamu nao wakijihusisha na shughuli za ujasiriamali.
Nimekutana leo na wanamama kadhaa, na baibui zao wakiwa wamebebea vitu kama vile nguo...
Kwa Ushauri kuhusu Kilimo Biashara WIGO Farming Production wapo Tayar kwaajili Yako.Kwa Ujumla Kuhusu GreenHouse Kufunga system za Umwagiliaji Maji shambani drip irrigation,Kuuza na Kununua Mazao...
ndugu zangu wakulima wenzangu habari za asubuhi?natumai mnaendelea vyema,nilikua naomba kujuzwa jinsi ya kusindika mahindi yaweze kukaa kwa muda mrefu bila kuharibika au kuliwa na...
Habarini humu..
Kwa ambao mshalima au wataalamu wa tikiti naomba ushauri huu ni ugonjwa gani na nini athari yake?
Nlidhani itakua chawa lakini mmea wote nimekagua hamna chawa. Pia kuna manyunyu...
Kilimo Bora cha Nyanya; Maandalizi Ya Mbegu, Shamba Na Upandaji Wa Miche
Utangulizi:
• Nyanya ni zao la mboga ambalo hulimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama...
RAMANI YA UFUGAJI WA KUKU
(POULTRY FARMING MAP)
Hii ni Ramani ya kipekee kabisa itakayo kuongoza kufikia safari yako ya ufugaji wa kuku. Ramani hii imesheheni njia mbali mbali za wewe kupita ili...
Habari Wana JF,
Baada ya kupigwa na ugumu wa maisha kila wazo naona lina bounce,
Ningependa kufanya biashara ya Kununua TOYO ile three wheel ya kubeba mizigo masokoni afu mwisho wa siku nipate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.