Niwatakie Jumapili njema, Kuna tatizo linanisumbua kutokana na kuku wangu wa kienyeji kutaga sehemu moja kwa pamoja (Kuku wawili hata watatu wanataga kwenye kiota kimoja). Nimejaribu kuweka viota...
Natumai mu wazima.
Naulizia kwa mkoa wa Arusha ni maeneo gani naweza pata shamba la kuanzia ekari 30 kwa ajili ya kulima mahindi.
Hata kama kuna anayejua na mkoa wa Manyara pia naomba anijuze...
Eneo zuri linalofaa kwa kilimo cha umwagiliaji na ufugajia wa samaki lenye hekar 2.lipo mita 100 kutoka mto ruvu,mita chache kutoka mradi wa samaki wa ruvu fish,eneo lipo halmashaur ya mji kibaha...
Jamani ngo'mbe wangu anashindwa kutembea. Alikuwa ameanguka wiki mbili nikampa chumvi na injection ya gluconate akaamuka. jana mchungaji akampeleka milishoni akakaa chini haamki ingawa anakula...
Kwanini VITUNGUU katika shamba lako vishambuliwe na UTITIRI NA CHAWA wakati dawa ipo?
Tumia PROTRIN 60EC.
Wasiliana nasi,
Meru Agro
Piga 0755 325 442
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wale ndugu zangu mnaotaka Mbolea ya kuweka mashambani ili kuwauwa wadudu waharibifu wa mazao yote, nakuyakuza mazo kuwa mengi na kupata faida ya ukulima wako Mbolea ninayo nzuri na yenye...
Habari wakuu!
Kama ilivyo kwa zao la CHOROKO, zao la MBAAZI nalo limeleta kilio kwa wakulima wa mkoa wa Mtwara kwani hadi leo hii linanunuliwa Tsh 300/= kwa kilo moja ukizingatia gharama ya...
Thousands of tonnes of highly-toxic weed killer not authorized for use in the EU is being produced in Britain and exported to the developing world, it has been revealed.
Paraquat, a pesticide that...
EFC ni taasisi ya fedha inayotoa mikopo kwa wajasiliamali na wafanysbiashara ndani ya mkoa wa dar es salaam kwa sasa. kwa wafanyabiashara wa ushonaji,duka,salon,bucha,viwanda vidogo...
Mwezi wa kumi kuazjia tarehe 2 hadi 8 kutakuwa na Maonyesho ya kimataifa ya kilimo ya Nairobi. Haya ndo maonyesho makubwa kabusa Africa mashariki na kati.
Kwa watako taka kwenda.
Tutaondoka...
Twamshukuru mungu tumeanza mwezi mtukufu kwa amani,mie ni mfanya biasha wa nguo za watoto na wakubwa naomba mtu anae weza nikopesha pesa bila riba,nashida ya milioni moja nitarudisha baada ya...
Hamjambo WanaJamii
Kero kubwa kwa mkulima hasa pale anapokua akihesabu 'vifaranga', ni wadudu wanaokula mazao yanapohifadhiwa. Swala hili limekera tangu binadamu wa kwanza kugundua kuhifadhi...
Wasalamu,
Wana Biashara na uchumi,Nimekuwa na idea ya kutengeneza t_shits special kwa couples,niwe nadesign mwenyewe mtindo then nipeleke kiwandani wanitengenezee.Naombeni muongozo ni viwanda...
Wataalamu wa kilimo naomba msaada, mahindi yameshambuliwa na wadudu.
Wadudu hao hushambulia katikati ya jani tete linalo chipuka. Nitumie dawa gani ili ninusuru mahindi yangu na ya wengine maana...
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?
Msaada kwa anayeelewa.
#commred Chichimizi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.