Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Habari wakuu Nahtaj nipande miti ya mbao yenye sofa ya kikua kwa mda mfupi na ujazo wa kutosha Naomba wataalam munishauri ni aina gani ya miti ni nzury kibiashara Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Salaam Wakuu.! Ni kwamba kwa bajeti kuu ya serikali 2017-2018 tuliambiwa kuna punguzo la kodi kwa 18% kama sikosei katika pembejeo za kilimo (mbegu,mbolea n.k) lakini tunaenda msimu wa Kilimo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Bei ya vifaranga vya kuku wa nyama mayai imepanda kutoka Tsh 1,300 hadi Tsh 2,200 baada ya Serikali kuzuia uagizaji kutoka nje Kama unapenda kula nyama ya kuku au mayai, anza kujiandaa...
2 Reactions
23 Replies
7K Views
Kwenye uzalishaji wa mayai kuna ya kuku wa Kisasa na kuku wa Kienyeji. Ila soko kubwa ni la mayai ya Kisasa. Soko la mayai ya kienyeji ni kwa fammily consuption ila kwa biashara watu wanatumia...
1 Reactions
34 Replies
10K Views
Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kilivyoeleza. Natafuta location ya ofisi za bodi ya korosho Dar, au kama kuna mtu yeyote mwenye mawasiliano na yeyote anayefanyia bodi ya korosho hata aliyeko...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu kama mnavyojua mambo ya ajira ni pata potea, nataka nianzishe kimradi changu cha kuku ila wa kienyeji, ss sina sehem ila kuna chumba cha nje kipo wazi..swali ni je kuku wa kienyeji...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajamii, Kama kuna mtu ana utaalam wowote wa ufugaji wa bata mzinga naomba tupeane elimu ili tuweze kufuga kisasa kwa ajili ya kutengeneza kipato.pia itakuwa vizuri tukipewa majibu ya maswali...
1 Reactions
3 Replies
9K Views
Habari wakuu, Natarajia kuvuna matikiti Mungu akinijalia ndani ya wiki tatu baada ya changamoto kadhaa za kilimo hiki. Msimu uliopita nlimkabidhi mzigo mmoja wa madalali wa pale Buguruni sokoni...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu habari, tumetoka kupiga dawa ya ukungu, vitunguu vishaanza kutoa mabomba na maua msaada ni kitu gani kinahitajika nifanye kwa sasa?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni msaada wenu,nawejaze kumtibu Kuku aliyevunjika mguu kwenye goti? Asanteni.
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari wana jamii Mimi ni kijana nilie ajiriwa sekta binafsi na pia nimejiari pia katika ufugaji wa kuku wa kienyeji. ijapokua sina uelewa na baadhi ya madawa ya kuku na magonjwa yao. Wapo kuku...
0 Reactions
22 Replies
20K Views
Habar wanajamvi mimi ni mjasiliamali mdogo na pia nimeanza kulima mahindi ila nataka kujua kuhusu mbegu za mahindi hybrid kama unaweza kupanda misimu miwili mfulilizo yaani nimependa kwenye masika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana Jamii, Habarini ya mapumziko? Naomba msaada wenu kupata maelekezo juu ya Biashara ya Chumvi. Nataka kuwekeza kwenye usagaji na upakiaji wa chumvi ya baharini kwa matumizi ya binadamu na...
1 Reactions
17 Replies
13K Views
Habari wana kilimo.Nimekuwa nikisia habari ya kilimo kwa kutumia Technolojia ya Hydroponics ambayo mkulima haitaji kuwa na Ardhi ili aweze kulima, anachohitaji ni kuwa na hiyo system ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Eneo linalohitajika ni mita mbili (2), Kwa maana ya Urefu wa mita mbili (2) na Upana wa mita moja (1). Huu ni ufugaji wenye tija kwa wale wafugaji wenye eneo dogo. Kinakachofanyika katika hilo...
7 Reactions
5 Replies
9K Views
Natafuta mbaazi mweupe kwa wingi.ntapata wapi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu nilikuwa natafuta hizi trays kwa hapa Dar naweza kuzipata wapi Na Bei Tafadhali
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau naomba msaada nataka kujua ukubwa wa banda (square mita) la kufugia kuku wa mayai na idadi ya kuku inayotakiwa... i.e kwa kuku wa mayai 300 kwa mfano, inatakiwa banda la ukubwa gani? Pia kwa...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Nauza dagaa wa Mwanza wale wabichi wamekaangwa. Wapo tayari kwa kula Unaweza wapasha ukala au unaweza kuwaunga either way! Hawana mchanga na sio wachungu. Pakiti-1500 (wamewekewa viungo)...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom