Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Wana jukwaa, nimelima mahindi kwa kumwagilia mkoani Iringa. Je kwa anayejua bei ya sasa kwenye soko. Nimekosea kwenye tittle moderator naomba msaada, nilimaanisha bei na sio bro.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina tani 20 za mahindi nauza, naomba ofa yako. Yako Handeni Tanga
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Naomba mwenye kujua bei ya mashudu kwa debe moja ajinijulishe.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hawa ndio Plymonth Rock/Bared Rock ni moja ya Heavy Breeds, niliwapata wachache kutoka Ufaransa. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu nauliza ni sehemu gani morogoro Ambapo unaweza kununua mpunga kwa gharama nafuu kipindi cha uvunaji Na upatikanaji wa maghala kwa ujumla (vijiji gani)
0 Reactions
1 Replies
769 Views
Habari wakuu naomba kama unatotolesha mayai au mwenye kufahamu mahali wanakototolesha mayai manispaa ya Ubungo na maeneo jirani anipm ,au nipe mawasiliano nikutafute.Asanteni
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu.... Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka isiyofikia 25 na pia ni mzaliwa wa mkoa wa iringa kwa malezi yangu ni dar es salaam Katika mkoa wa iringa nina shamba LA...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
hello JF, Nimefikiria nikaona, kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu, ila,tume base kwenye nafaka peke yake, kila mtu ukimsikia amejiajiri,ujue ni kilimo cha mahindi,mchele,mtama etc leo...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Ama kwa hakika hayawi hayawi sasa yamekua, asiye na mwana aelekee jiwe ndio funzo la wahenga kwa yeyote atae shupaza shingo lake basi mvunjiko ndio halali yake. Ni Tanzania ndio ni Tanzania...
14 Reactions
44 Replies
11K Views
Habari za kazi wakuu? Naomba niende straight kwenye point yangu, nimekua nikifuga kuku wa kienyeji kwa mwaka sasa lakini kuna tatizo nimelipata siku za karibuni baadhi ya kuku wanapasua mayai...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Ndugu Watanzania wote. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisikia kilio cha wakulima wa Mbaazi Tanzania kutokana na kuporomoka kwa bei ya mbaazi kwenye soko la dunia. Pia nimefuatilia juhudi za...
2 Reactions
23 Replies
7K Views
Tunaomba mamlaka za kudhibiti dawa wachunguze na kufanyia upekuzi WA Mara kwa Mara kwenye viwanda vya dawa za kuua wadudu (pesticides/insecticides) haswa viwanda vya arusha. Wananchi tunapoteza...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Wadau kuna mtu ameniomba mmsaada wa kujua bei ya Dagaa wa Mwanza kwa hapa Dar kwa bei ya jumla kwa gunia, kama kuna anajua chochote kuhusu biashara hii, share nasi unachojua please...bei na masoko!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Salam wakuu napenda kujua ni Uzi gani unapendwa humu jf na zipi sifa zake kipi kinawavutia wakuu kuchangia? Je ni zile za wenye majina kama kaka mshana Jr na wengine Je ni zile za kugegedana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kilimo cha mkataba ndo sulihisho pekee la matatizo lukuki yanayoikabili sekta ndogo ya pamba hapa nchini hasa ukanda wa magharibi
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Ile safari ipo kama kawaida na ni tarehe 4 mwezi ujao. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
12 Replies
2K Views
HAMASA YA WATU KWENYE KILIMO NA UFUGAJI NA JINSI WATU WANAVYO TAPELIWA. Katika siku za hivi karibuni watu wamejuwa na mwamko sana wa Ujasiriamali hasa kwenye kilimo. Watu wamekuwa na hamasa ya...
19 Reactions
15 Replies
4K Views
Ni pamp inayo faa kwa kilimo na ufugaji wa samaki kwani ina uwezo wa kuvuta maji kwa kiwango kikubwa hadi lita 800 kwa dakika . Namb 0657 139511/0768092950
2 Reactions
75 Replies
15K Views
Salaam Wakuu. Nahitaji mawasiliano ya kituo cha utafiti wa Kilimo Naliendele- Mtwara.! Amani.
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Wadau naomba kujulishwa majina ya makumpini yaliyoko Dar es Salaam na Mwanza yanayouza vyakula vya samaki.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom