Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Wakuu hapa kati nilikuja na uzi wa kusema natafuta kuku wa kienyeji wasiochanjwaa.... Niliweza kufanikiwa kununua kuku sehemu tofauti na wengine nilipata kutoka mbeya ila walivyofika...
0 Reactions
38 Replies
10K Views
Kwa wale wote wanaofanya ufugaji pamoja na wanaotaka kufanya ufugaji ww samaki. Sasa vifaranga bora vya kambale aina ya clarias gariepinus wanapatikana kwa bei Rahisi sana. Nitafte kwa...
1 Reactions
16 Replies
9K Views
Wana week 7 ni wakubwa nawarefu wenye afya Bei Kwanzaa 60000 kwa mawasiliano tupigi au msg 0625588676
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Nina haja kwa wale wanaodeal na ujenzi wa mabwawa ya samaki, Ukijumuisha na uuzaji wa vifaranga, na chakula cha samaki na pia wataalamu wa masoko. Kama upo katika shughuli hizo usisite kuja PM...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu Wanajamvi ! Asalaam Aleykum / Bwana Asifiwe / Tumsifu Yesu Kristo. Mimi ni Mjasiriamali mdogo na nimebahatika kupata eneo la heka 10 lenye udongo mzuri wenye rutuba. Yaani ardhi ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Karbu Chuo cha Mifugo Hagafilo upate elimu bora kuhusu Tiba na Uzalishaji wa mifugo kwa ngazi Astashahada(CHETI) Stashahada (DIPLOMA) piga 0762940676 kwa mawasiliano
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Nina kuku was kienyeji wanaumwa,wamevaa makoti je tiba yake ni IPI?na ni ugonjwa gani huu?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wana-JF, Natafuta matank aina ya IBC. Nataka kununua hivyo naulizia upatikanaji wake na bei zake. Niko Dar es Salaam. Mwenye kufahamu wapi nitapata haya matank ya IBC aniambie na pia nitayapata...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Wadau assalam, Nadhani Ijumaat imekaa sawa, Nauliza dawa kali ya wadudu wanaotambaa kama vile mende, sisimizi,kunguni, chawa na mchwa. Tafadhali anaejuwa anijuze jina, pia hata zinakopatikana...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nahitaji msaad kwa wanao fahamu dawa ya kuku wa kienyeji walio xhusha mabawa na kuharisha au mafua au ute ute mdomon
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilikuta uzi hapa wenye kichwa Nawezaje kupata Ng'ombe bora wa maziwa. Nikaacha email yangu kwa mawasiliano na maelezo kuwa nitamsaidia kupata ng'ombe bora kutoka Meru Arusha eneo pekee nchini...
3 Reactions
59 Replies
16K Views
Kufika: Njoo jirani na njia ya kuelekea standi ya daladala ya mawasiliano hapa Ubungo. Ni pm au WhatsApp hii namba 0626641591. Fuga ng'ombe wa maziwa, mahitaji ya maziwa ni makubwa sana mjini...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Natafuta vifaranga vya kuku wa kienyeji. Please inbox kama unavyo.
0 Reactions
7 Replies
5K Views
wanyama wadogo: Kuku Sasso ,Sungura,Bata Mzinga etc. Ni rahisi Kwa Watumie WA kipato kidogo hivyo inaweza kuondoa Umaskini na Kuboresha lishe katika Jammii hasa Watoto!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwako mfugaji kuku ni wa miezi 4 & 5 wako jogoo 2, tetea 8 wote bei 120000 wamepata chanjo zote wanapatkana mbezi ya kimara dsm 0787 42 91 04
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wana JF kwa anaejua bei ya vitunguu maji kwasasa katika mikoa mbalimbal nipate mwanga
3 Reactions
14 Replies
13K Views
Ninauza Karanga kwa anayehitaji tuwasiliane 0625568600
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa kweli hawa biumbe ni wagumu kuwapata,na ukiwapata bei yake inakuwa kubwa sana kwa kilo, we are talking about more than twenty something shillings per kilo for 'dagaa',but that's not the case...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
kama una swali lolote juu ya masuala yahusuyo kilimo,tafadhali uliza.
3 Reactions
40 Replies
6K Views
Naomba kujuzwa kama chuo kikuu cha sokoine wanatoa kozi ya ufugaji wa samaki kwa wajasiriamali .Hii ni fursa ambayo naona inalipa sana lakini ningependa kupata ujuzi wa kutosha kabla sijaingia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom