Wana JF nimekutana na changamoto leo nilipoulizwa juu ya maharage ya FIWI na huyo mtu akaniambia yana soko sana kenya na india,
naomba mnisaidie haya maharage yanalimwaje, mbegu inapatikana wapi...
kilimo cha samaki ni kilimo rahisi saanaa na ni kilimo kinachotumia mahitaji rahisi na ya kawaida
kama vile aridhi na maji.
lakini pia kilimo hichi hukumbwa na changamoto mbalimbali.kama vile...
Irrigation Potential Lake Victoria, Tanzania – FutureWater
Utafiti ulishafanywa tokea mwaka 2008 sijui kiliendelea nini.
Kuna mmarekani alipitia maeneo ya ziwa anasema ziwa Victoria liko katika...
Asilima kubwa ya raia Tanzania ni Wakulima vijijini na hawa watu wengi wao wanateseka sana kwa ugumu wa maisha unaowakabili siku hadi siku.
Wakulima wanataabika kulima kwa jasho lao tena kwa...
KWA MAHITAJI YAKO YA MASHINE YA KUTOTOLESHEA VIFARANGA(INCUBATOR).TUNAKUTENGENEZEA MASHINE HIZI KWA UKUBWA UNAOHITAJI.UNAPEWA GARANTEE YA MWAKA MMOJA.WASILIANA NASI KWA NAMBA HIZI.
0784999995...
Salaam kwenu wadau wa kilimo.Kuna tetesi kwamba serikali imezuia kusafirisha nataka hasa mahindi nje ya Nchi na pia kati ya Mkaa na mkoa.
Manake haiingii akilini Sunbawanga na MBEYA gunia la debe...
Ni tumaini langu wote wazima.
Naomba mwenye uelewa na hili jambo anifahamishe.
Ni certificate gani inayohitajika,na inatolewa wapi kwa ajili ya kusafilisha matunda nje ya nchi.
Natanguliza shukurani
Kilimo kimekuwa kikinadiwa na kupigiwa upatu na wahamasishaji wa aina mbalimbali hususani wale wanaosisitiza kulima kibiashara na kuwapa watu matumaini bila kuwadokeza vitu mhimu ambayo...
Habari zenu watafutaji wenzangu
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nimeanza kufanya mradi wa kufuga kambale lakini tatizo na changamoto nilizo nazo mpaka sasa bado sijapata soko ambapo wanaweza...
Tafadhali mwenye taarifa za kilimo cha soya,mchanganuo wa gharama kwa ekari na masoko.Changamoto zake n.k.Nimepenyezewa habari kuwa Songea mwaka huu wengi wametajirika na kilimo hicho.Karibu...
Wadau habari za Majukumu, Ningpenda kufahamishwa vilipo viwanda vidogo ama watengenezaji wa vyakula vya mifugo hususani kuku kwa maeneo ya Songea. Nikipata na mawasiliano yao itakuwa vema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.