Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Ninafuga kuku wa kienye ambao wamefika 80 na huwa ninawaachia wajitafutie chakula wenyewe,kwa sasa hivi kuku wangu wameanza kufa ghafula bila ya kujua ni kitu gani kinachosababisha vifo...
0 Reactions
34 Replies
14K Views
Natafuta bata aina ya bukini nataka kununua mwenye nao au anayefahamu sehemu walipo tujilishane.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa Wale woote wanaofuga Ngombe wa maziwa au wanapenda kujifunza Ufugaji wa Ngombe wa maziwa Karibu ujiunge kwenye group letu la whtsap ili kubadilishana mawazo ya kiufugaji kwa njia ya kisasa...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari Naomba kujua athari za dawa ya kuku kwenye mayai. Nimewapa kuku dawa ya typhoid inaitwa Fatrium bado wapo kwenye dozi, mayai yanaweza kuliwa au nisubiri siku kadhaa. Naomba anayefahamu anijuze
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapendwa mnisiadie nahitaji Kulima muhogo maeneo ya Pwani panaitwa Bungu njia panda ya kwenda Nyamisati Kwa wanaofahamu maeneo hayo ikiwa ni pamoja na ardhi yenyewe inafaa au?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Labla umesha wahi kujiuliza maziwa ya madukani yanasindikwa VIP na yanakaa muda gani,maswali yako yamepata majibu 1:Natoa mafunzo ya kusindika maziwa ya mgando kama ya ASAS TANGA,nk pia kama...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Wakuu nawasalimu!! Nilikuwa naomba kama kuna mtu anajua pa kuweza kununua Battery Cages Za kuku wa mayai Na Bei zake!! Au kama kuna uwezekano nipate hata contact tu kazi ya kuwasiliana nitafanya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wananchi wilayani Kilindi wametakiwa kujihusisha na ufugaji wa Nyuki kwani kwa kufanya hivyo watakuwa pia wameyatunza mazingira yao kwa kuwa ufugaji wa Nyuki huhitaji mazingira bora na hivyo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wakuu, ninahitaji vifaranga vya kuroiler toka kwa mfugaji yeyote hapa mbeya (ndani ya wiki hii) kwajili ya mradi wangu nipo mbozi mbeya ..0744575261... Asanteni muwe na siku njema Sent...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wadau Nina bata wengi so chini ya 100 wapi nitapata soko la kuwauza.
0 Reactions
23 Replies
17K Views
Wadau wa jukwaa hili nina imani kubwa sana nitasaidiwa na wataalam wa mambo ya mifugo hapa. Ni hivi nina ng'ombe wangu hapa ambaye alipandwa mwezi februali mwaka huu, tatizo ni kwamba tangu...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojitanabaisha, nahitaji mbegu ya karanga. Nipo Iringa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, nahitaji sana hawa kuku aina ya KARI nasikia wanataga sawa sawa na kuku wa kisasa wa mayai na wako developed na Serikali ya Kenya. Naomba mwenye nao au mwenye contact za CHasha make...
0 Reactions
31 Replies
10K Views
Habari wapendwa, Nalima kitunguu huko Dodoma hekari moja. Kuna mdgo wangu niliemwacha huko anapiga kazi katoka kunipia simu kitunguu kishaanza kwmuweka rangi ya njano hivi na vingine kudondoka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza naomba nitoe shukrani zangu member wote walionipa ushauri na hatua za kuchukuwa katakana na tatizo kwa kuku wangu.Nilienda kwa mtaalamu wa mifugo nikampa maelekezo nashukuru nilipata dawa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mazao gani mbeya naweza kulima .ushauri
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba husika na kichwa tajwa hapo juu.Kuku wangu wanaumwa sijuwi ni ugonjwa gani lakini wanatoa kinyesi cha kijivu/weupe na hawataki kula.Wamepooza sana hali hiyo nine Iona leo asubuhi. Wataalamu...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Wakuu Mimi ni mjasiriamali ni nae taman kuanza kilimo cha uvuvi japo sijui mengi lakini naamini Ninyi mwafahamu mengi zaidi maana Mimi ndo kwanza naanza Sasa Niko Na wenzangu Wengi tuu wenye...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Za leo, nilikuwa naomba kujua nahitaji kiasi gani kwa gharama Za Sasa nikiwa tayari na Banda langu la kufugia kuku 500 Wa Mayai! Natanguliza shukurani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom